Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
Nimesikia mara kadhaa, mtu anaenda Marekani kutembea, kutibiwa, nk, akiwa huko anafikwa na mauti, hapo utasikia watu wakichangishana fedha arudishwe nyumbani na gharama yake ni dola alfu 20 mpaka Tz
Nina maswali 2 yananitatiza
1-Huyu mtu alokufa wakati anakwenda Marekani anakua na return ticket, kwa nini shirika la ndege lisichukue gharama ya kumrudisha kwa sababu alishakata return ticket kabisa?
2- Labda tuseme kwa sababu amekufa anasafirishwa kama mzigo, uzito wa mtu kawaida ni kilo 60 mpaka 100 , inakuaje sasa kusafirisha uzito mdogo kama huo ukagharimu fedha nyingi hivyo?