Kamende
JF-Expert Member
- Mar 1, 2008
- 416
- 45
Mtalii nini?????
Ninakushangaa sana ulivyo na ujasiri wa kusimamia mambo ya aibu. Hivi kweli kwa wakati hu ambao tumeweka bayana mstari unaowatenga mafisadi na wazalendo MTALII unacheza karata ya kuwasimazisha wazalendo??
Sijui Tanzania inaenda wapi?
Upande uliotakiwa ukose ujasiri una unajiamini hasa na unaona una haki kikamilifu kuamini na kutenda wanayoyatenda. Ule ulio na haki unatakiwa unyong'onyee na kuzamishwa kabisa.
Mtalii endelea kutalii.