William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Nashukuru kwa hii Nondoz, lakini nauliza swali kwa jamii, ni nini kilichotokea mpaka Kolimba akapata shinikizo au mshtuko wakati wa Kikao nyeti cha Kamati Kuu/NEC?
According to the dataz ni kwamba Kolimba ilikuwa ajiunge na Chadema, with one promise kutoka kwa upinzani kua wote wataungana under him, yaani alipata promise kutoka kwa viongozi wengine wote wa upinzani kuwa wataungana in due time under him,
CCM wakagundua mapema kuwa hiyo weekend ndiyo ailikuwa aende kwenye mkutano mkubwa sana Jangwani, na atangaze kujitoa CCM na kujiunga na upinzani, CCM wakaita hiki kikao nyeti na kumtaka Kolimba aeleze tatizo lake na muelekeo wa CCM, Kolimba akaeleza matatizo yake yote, alipomaliza wakampa the shock kwamba wanamchagua na kumpa wadhifa wa mwenyekiti wa kamati maalum ya mapendekezo ya mabadiliko ya muelekeo wa CCM, na pia kwamba atapewa nafasi kubwa ya kugombea urais next time arround,
Akabaki amesimama kwa muda kidogo kabla ya kuzirai na kuanguka chini, kwa wanaomjua wakaanza kumtafuta mtoto wake, ambaye waligundua kuwa walimkatalia kuingia kwenye kile kikao, by the time amepatikana it was too late,
Now ninaomba kusema hivi, huenda kuna faulo ilichezwa lakini kwa uchunguzi wangu na wote niliowauliza then, bado ninaamini kwa 98% kuwa kile kifo kilikuwa ni kazi ya Mungu, kwa sababu serikali haingeweza kuwafanya watu wote kusema hadithi moja, mpaka mtoto na kaka na mke, hapana, kwa sababu viongozi kama Kibona, Rutihinda, Mwaikambo, Chifupa, Kombe na wengineo hadithi za wahusika hazifanani kabisa, kuna utata mwingi sana na vifo vyao na hadithi za wahusika hazifanani kabisaa.