Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Mkuu umenkumbusha aisee, Yule Binti kwa sisi wambea lazima tutaanzisha uzi wa kuujua uraia wa huyu Binti, kile kiswahili anachoongea ni kama vile hata Urambo hajawahi kufika kabisa, ni kama anakujaga Dar anawasabai anarudi ughaibuni..
kulikuwa na uzi humu zamaaani ukimtaja mmoja wa ma highness alikuwa akitafuna tuna
 
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je, ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sitta kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabahi Sitta hakwenda na Mama.

Pili, Lowassa amekuwa akisifiwa kuwa na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sitta asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.

Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikuwa macho yangu kupoteza umakini maana na yeye sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekuwa anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaidi shamba kuliko kumuaga Spika wake.

Ni hayo tu
Kazi udaku udaku tu, sasa ukijua hayo yanakusaidiaje?
 
Ndugu zangu hakuna propaganda mbaya kwenye maisha kama uzushi na uongo! Yote yanayoongelewa hapa ni emotional but emotional hizo zaweza pelekea ufanye vizuri au vibaya! Mbaya zaidi kuna watu watatumia msiba wa mtu kujitafutia umaarufu na kujijenga kisiasa!

Kama kuna anayefurahia kifo cha adui yake hana tofauti na mnyama anayekuta mwenzie kafa na kuanza kumla nyama!

Nasema tuache propaganda chafu kama kweli kuna sherehe inafanywa na watu sababu ya kifo cha Mzee wetu sitta naomba picha au video zenye mabango yanayobeba content ya sherehe hiyo tofauti na hapo ni majungu na uhafidhina! Sisi ni wasomi jamani japo sijui viwango vya kielimu na uelimikaji uliobebwa na kila mwana jamvi!

Siko upande wowote wa chama kama raia mwema napenda kusimamia ukweli na kukosoa kitu kiitwacho propaganda hasa ninapogundua kitu! Over!!!?
 
Embu jaribu kuangalia ukaribu wa JK na Mkewe Mkapa na mkewe, japo ni wastaafu lakini wapo bega kwa bega kote waendako ktk shughuli za kijamii... Kwanini huyu hapewi that priority? Me mwenyewe kabla sijafukuza mke wangu nliambatana nae kila mahali
Wewe jamaa umenichekesha sana kwa hiyo umemtimua mkeo ?
 
siunajuwa tena .....mtajuwaje tena kuwa kama sio mtanzania na kaja na VISA....Kina Salim ,Mama Tibaijuka na wengine wamekaa ulaya toka wakiwa vijana lakini bado wanaongea kiswahili cha kihaya au kimanyema
Hahaha wewe jamaa huwa unanifurahisha sana ni mwana ccm ila huwa unaongea facts hubebwi na ashki za chama

Ongezea na Mahiga hapo kwenye list
 
Kuna mtoto wa Sita anaitwa Masoud mbona huyu hatajwi wala kuonekana popote ?
 
Mkuu umenkumbusha aisee, Yule Binti kwa sisi wambea lazima tutaanzisha uzi wa kuujua uraia wa huyu Binti, kile kiswahili anachoongea ni kama vile hata Urambo hajawahi kufika kabisa, ni kama anakujaga Dar anawasabai anarudi ughaibuni..

Cc Nifah
 
watoto wa wakubwa wengi wao mabwege....na wana mawazo kuwa hii nchi ni ya kifalme ....wakati Mwalimu hakumpa hata mwanaye mmoja kazi
Mzee mwinyi naye maskini katuhumiwa sana lakini kwa uadilifu anamfuatia Mwalimu , mkubali mkatae .....yeye hakumpa mwanaye yeyote kazi ...huyu Hussein mnayemuona amatoka Turkey enzi hizo Muhimbili wana bifu na Mwinyi wakakataa kumuajiri ...wala hakuwa na neno akamuomba mzee Kairuki ...kijana akawa anapiga day worker pale ..na akafanya na masters .......Hussein miaka yote ya utawala wa baba yake amefanya kazi private ...na akitoka kazini anaangalia Tv tu home hakuwa speed ..sana ...Aliyekuja kumkumbuka Hussein na watoto wa Mwalimu ni Mkapa ..ambaye naye wanaye hakuwapa kazi ..
lakini sasa tunao viongozi watoto wao ni "wakimbizi" ulaya na bado wanataka kufanya chama ccm cha kuridhishana .....

Maneno yako hayana logic hata,
Mwisho unakiri Mkapa anampa kaz mtoto wa rais mstaafu,na unakiri KUWA WANAPEWA NA KUPEANA
 
Back
Top Bottom