Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

you can see potentiality ya ENL. I always say ENL ni kama maji (usipoyanywa basi utayaoga, usipoyaoga basi utayanywa, usipoyaoga basi utayafulia nguo nk) yaani hadi kina Le Mutuz wanam-miss...they all need to see him in every event. of all key national figures zilizohudhuria lakini absence ya ENL inawaumiza watu. huyu ndio Prezidaa by 62% (Steve Wassi-raa, 2016).
Umepatia mzee. I give u B+
 
HURUMAnbOYs humalizana wao kwa wao matatizo yao.


endeleen kukausha makoooooo yenu kwa vitu vya giza.
 
Nchi hii tuna roho za kwanini na chuki sana, hili ndo linatutafuna na litazidi kuturudisha nyuma. Siasa ni zetu hapa duniani lakini kifo si la kwetu, kifo ni kazi ya Mungu na kama kweli sote tunamtii Mungu yatupasa kujumuika katika kutimiza matakwa yake ...Kwa yeyote ambaye hajafika katika msiba huu kwa makusudi basi yampasa ajifikirie yeye Mungu wake ni yupi kama si huyu aliyetuumba mimi, wewe na yeye
 
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sita kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabai Sita hakwenda na Mama.

Pili, Lowasa amekua akisifiwa kua na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sita asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.
Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikua macho yangu kupoteza umakini maana na yy sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekua anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaid shamba kuliko kumuaga Spika wake

Ni hayo tu

Sincerely ndio kwanza nasikia Lowasa na Sitta walikuwa na utofauti. Unatoka wapi nielezeni please
 
alimuambia Lowassa anasubiri Kufa na atawaingiza gharama ya kuzika akiingia ikulu.....siasa hatari sana ......
asijue tayari washamfanyia yao.........mwenzake aligutuka mapema kuwahi ujerumani kabla haijakolea ..
all in all niseme mtu atakayekuwa hana raha kuliko wote ni Kikwete ........mtandao wake uliiongozwa na Lowassa ,sitta ,Membe ,Rostam , na wengine umemaliza miaka 10 wakiwa kwenye mgogoro mkubwa wenye majeraha makubwa ....awali Adui alikuwa Lowassa lakini mwisho wote hawaelewani
Hata baada ya rais mpya kuingia wamekuwa sio watu wenye furaha na rais aliyepo...Sitta mwenyewe alikuwa ameshaweka booking kuongea na waandishi wa habari akirudi sijui alitaka kusema nini
Membe juzi tu alibipu kuongea na waandishi ...akajibiwa arudishe pesa ya Ghadafi na JP.

Kimsingi wote wanamlaumu Jakaya Kikwete ....kuwa kama sio wao kwa wao kugombana wasingefika huku...lakini pia kuna watu kama Membe na Sitta ambao wao wanabeba lawama za kuwa wachonganishi ndani ya kundi


Mmmh, kwahiyo issue siyo tezi dume? Unaniongezea maswali kichwani sasa. Ndiyo maana najiuliza mbona hii tezi dume mkwere alipona fresh tuuu? Imekuaje hii ya six imemtafuna na kumkondesha fasta na hata umati????

Au Magreth anajua kitu ndyo maana analia sana jamn
 
Mtoto wa mkulima kastaafu siasa na kwa sasa anaishi Dodoma akijishughulisha na kilimo na ufugaji. Wakati wa kuaga mwili Bungeni alikuwepo. Acha kuandika hisia badala ya uhalisia.
 
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je, ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sitta kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabahi Sitta hakwenda na Mama.

Pili, Lowassa amekuwa akisifiwa kuwa na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sitta asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.

Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikuwa macho yangu kupoteza umakini maana na yeye sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekuwa anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaidi shamba kuliko kumuaga Spika wake.

Ni hayo tu
Mzee Pinda alikuwepo Bungeni
 
Unesahau swali lingine. Hivi yule caroline Sitta ni Mtanzania? Maana kiswahili chake mushkeli sana

Mkuu umenkumbusha aisee, Yule Binti kwa sisi wambea lazima tutaanzisha uzi wa kuujua uraia wa huyu Binti, kile kiswahili anachoongea ni kama vile hata Urambo hajawahi kufika kabisa, ni kama anakujaga Dar anawasabai anarudi ughaibuni..
 
Unesahau swali lingine. Hivi yule caroline Sitta ni Mtanzania? Maana kiswahili chake mushkeli sana
Anaishi marekani, kutokujua kiswahili ni mbwembwe tu maana baba yake na mama yake ni Samuel na Magreth kwahiyo anatakiwa kukijua vizuri tu, mbona Agnes anaongea vyema?
 
Anaishi marekani, kutokujua kiswahili ni mbwembwe tu maana baba yake na mama yake ni Samuel na Magreth kwahiyo anatakiwa kukijua vizuri tu, mbona Agnes anaongea vyema?
huyo caro kashachukua uraia wa marekani na ameajiriwa na serikali ya marekani
 
Back
Top Bottom