Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

kuna video youtube mzee samweliii akimtusii lowasa juu ya utajiri wake na ufisadiiii
alimuambia Lowassa anasubiri Kufa na atawaingiza gharama ya kuzika akiingia ikulu.....siasa hatari sana ......
asijue tayari washamfanyia yao.........mwenzake aligutuka mapema kuwahi ujerumani kabla haijakolea ..
all in all niseme mtu atakayekuwa hana raha kuliko wote ni Kikwete ........mtandao wake uliiongozwa na Lowassa ,sitta ,Membe ,Rostam , na wengine umemaliza miaka 10 wakiwa kwenye mgogoro mkubwa wenye majeraha makubwa ....awali Adui alikuwa Lowassa lakini mwisho wote hawaelewani
Hata baada ya rais mpya kuingia wamekuwa sio watu wenye furaha na rais aliyepo...Sitta mwenyewe alikuwa ameshaweka booking kuongea na waandishi wa habari akirudi sijui alitaka kusema nini
Membe juzi tu alibipu kuongea na waandishi ...akajibiwa arudishe pesa ya Ghadafi na JP.

Kimsingi wote wanamlaumu Jakaya Kikwete ....kuwa kama sio wao kwa wao kugombana wasingefika huku...lakini pia kuna watu kama Membe na Sitta ambao wao wanabeba lawama za kuwa wachonganishi ndani ya kundi
 
Ni kweli Kapuya kafanya hayo au anazushiwa?

Mabifu ya wanamtandao na pollonium 310, watamalizana sana ........mwanzo wote walimuwinda Lowassa ....mwaka 2008 Lowassa alipopita pale VIP kuelekea ujerumani ....kwa matibabu...muda mfupi baada ya kutolewa uwaziri mkuu...kila mtu aliyemuoana alilia machozi ...alikuwa haoni na hajiwezi ..
Haikuwa ajabu wenzake kuendelea kuimba litania za hafiki kesho ,hafiki kesho ,ilipofika 2015 wakawa wanasema hafiki mwenzi wa nne ...hata wakapeleka mbele uteuzi ndani ya chama wakiamini yeye atakuwa ashakufa ....mara hafiki mwezi wa sita ....
Mara hamalizi kampeni , mara atafia Ikulu ........hakika Lowassa ana moyo wa kusamehe ..

Sitta mwanamkakati asiyechoka baadaye ikaonekana kuwa aliendelea kulipiza kisasi kwa Jk ,analaumiwa sana kwa kuwapa wapinzani nguvu bungeni na pia kwa kuweza kuwa chachu ya Katiba ya wananchi -ukawa .na msamaha wake ulikuwa mgumu..ikidaiwa aliendesha lile bunge kwa malengo yake ya urais ....
 
Sio lazima wahudhurie wote,lakn pia wanaweza kwend wasionekane kwenye media.maana najua hata ww unalalama hapa lkn pia hujaenda....
 
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sita kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabai Sita hakwenda na Mama.

Pili, Lowasa amekua akisifiwa kua na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sita asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.
Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikua macho yangu kupoteza umakini maana na yy sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekua anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaid shamba kuliko kumuaga Spika wake

Ni hayo tu
Kuna mkweli kuhusu mama wa pale magogoni inamaana alipoposikia ndio akaugua na hata hajasema sewa ni tatizo gani lilimpeleka sita alikiwa na ukaribu sana na mama kuliko baba nini daha mmmmmm
 
Mada ni hii ni kama umbea vile maana usilolijua ni kama usiku wa giza nene tusipende kusemea watu tujiangalie wenyewe
 
Kuna mkweli kuhusu mama wa pale magogoni inamaana alipoposikia ndio akaugua na hata hajasema sewa ni tatizo gani lilimpeleka sita alikiwa na ukaribu sana na mama kuliko baba nini daha mmmmmm
Press release ya Ikulu ilisema alipofikishwa Muhimbili alikuwa amepoteza fahamu. Ila kilichosababisha ndio hakijulikani.
 
Kwa namna kamshahara kangu kanavyokatwa kodi kizembezembe... Mifuko ya hifadhi ya jamii kutuibia fedha zetu.....


Familia yangu huko kijijini inavyoteseka kwa kukosa maji safi... Na ninapoona unafiki Wa wanasiasa karibia wote japo si wote, Kiukweli nawafananisha na mashetani yanayotaka kutuua..... Tangu nilivyoteseka chuo hususani kubabaishwa kwenye mkopo wangu mpaka kupigwa mabomu pale heslb na sababu lukuki za kipuuzi za wanasiasa....


Niliwahi kujiapiza Sitamuonea huruma Mwanasiasa yeyote kwa lolote litakalompata,Ni bora nifunge maombi ya mnyororo kumuombea scorpion atoke rumande kuliko Mwanasiasa Wa nchi ya ahadi......


All in all kuhudhuria ama kutokuhudhuria msibani hakupunguzi wala kuongeza huruma kwa mungu .. Ni matendo yako tu ndio itakuwa ushawishi kwa mungu either uwekwe kulia au kushoto.... Acheni ku-overate mambo....
 
Kwa hiyo CCM mmemwua Samweli Sitta ili kupima kiwango cha Utu wa Lowassa ama vipi, kwani huu msiba unamhusu vipi Lowassa???

Lowassa ana haki ya kuhudhuria au kutokuhudhuria msiba wa Sitta, ana haki ya kusikitika ama kutokusikita!
umeongea ukweli unatakiwa kwenda msibani sio unaenda msibani kuangalia nan kahudhuria na nan hajahudhuria
 
Back
Top Bottom