Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Kwani 6 aliishi Urambo?

Alizaliwa Urambo, kawa mbunge wa Urambo miaka kadhaa ,ana mji /nyumba Urambo na hata kiama kilivyomkuta tumeenda mlaza kwenye Kaburi Urambo.

Sasa sijui hapo unawatenganisha vipi wanae na Urambo.. Mbona hakuzikwa kwenye mahekalu yake ya Tegeta, Mbweni au Masaki mkuu
 
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je, ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sitta kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabahi Sitta hakwenda na Mama.

Pili, Lowassa amekuwa akisifiwa kuwa na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sitta asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.

Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikuwa macho yangu kupoteza umakini maana na yeye sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekuwa anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaidi shamba kuliko kumuaga Spika wake.

Ni hayo tu
Jungu live nilimuona huyo naye fikiria ndyo unamuita mama wa taifa akisali masaki na swala aliongoza marehemu sitta, Pinda yupo busy na kilimo na hatujui yeye wala lowossa walikuwa na dharula gani ila miafrica ndivyo tulivyo
Acha uchonganishi
 
Jungu live nilimuona huyo naye fikiria ndyo unamuita mama wa taifa akisali masaki na swala aliongoza marehemu sitta, Pinda yupo busy na kilimo na hatujui yeye wala lowossa walikuwa na dharula gani ila miafrica ndivyo tulivyo
Acha uchonganishi

Sawa mkuu nimeacha!! Samahani lakin, hivi Mama keshapona kabisa kabisa? Au na wewe hujui??🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom