Rejea ya nyumaSina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu
Je, ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sitta kafariki?
Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabahi Sitta hakwenda na Mama.
Pili, Lowassa amekuwa akisifiwa kuwa na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sitta asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.
Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.
Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.
Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikuwa macho yangu kupoteza umakini maana na yeye sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.
Angekuwa anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaidi shamba kuliko kumuaga Spika wake.
Ni hayo tu
akiambatana nae kila mahali mnakuja na lingine kwamba anaongoza nchi kwa ushauri wa mkewe, watanzania hata ufanye nini hauna jema.Embu jaribu kuangalia ukaribu wa JK na Mkewe Mkapa na mkewe, japo ni wastaafu lakini wapo bega kwa bega kote waendako ktk shughuli za kijamii... Kwanini huyu hapewi that priority? Me mwenyewe kabla sijafukuza mke wangu nliambatana nae kila mahali
Alikuwepo kwenye mazishi , sema karmjee hakuwepo .inawezekana karmjee alikuwa bado safarini .Labda ana bifu na mshua wake
Mkuu kama wakivurugika basi hiyo issue haikua ndogoTunapenda issue ndogo ndogo iwe hoja kubwa kuvuruga watu!
Dah! Watu mna maneno.. Eti ushauri Wa daktari[emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Anyway acha niseme kidogo! Yawezekana pia huo ukawa ni mtazamo wako ambao unaweza pelekea kuweka assumption nyinginyingi, nikianza na hoja ya mama wa taifa sina ushahidi kuwa alizimia! Na kama kweli basi si lazima mtu awe ndugu yako ndio uzimie hapo ni suala la emotional au inspire! Ajari ya MV bukoba iligusa wengi na wengine kuzimia! Mzee yule alikuwa mzee wa watu anayesaidia, kwani bwana mdogo Paul makonda angezimia tungesema ndugu yake? Ila kwa sababu alisaidiwa mpaka kufikia hapo ndio maana ya kulia sana, ndugai, mwakyembe na wengine wengi waliozimia hukuwaona!!? Suala la lowasa kutoonekana! Kuna wakati unaweza kuzuiwa na daktari wako usihudhurie eneo la matukio ya kuumiza kutokana na tatizo ulilonalo wakati huo so hiyo inaelezeka ndio maana hata tetemeko la bukoba hujamuona mkuu wa nchi hutegemeana na maelekezo ya madaktari au washauri wa karibu unaweza kutunguliwa! Kuhusu mtoto wa mkulima nikurekebishe kidogo alikuwepo Dodoma na aliaga mwili hukuwa makini tu kuona ila tuliokuwepo Dodoma tulimuona na kusalimiana nae! Nawasilisha @ mhigwa one!
Rejea ya nyuma
Mazishi ya Peter Kisumo Lowasa na msafara wake walizuiwa kushiriki; msiba huu wasingemzuia kama ule?
huyo caro kashachukua uraia wa marekani na ameajiriwa na serikali ya marekani
ana bifu ,baada ya kwenye kumuondoa edo wote walikuwa pamoja na ule utatu wa "wapambanaji wa ufisadi" ambao mwadhama cardinal alipata kusema wapo watu wanapambana na ufisadi kinafiki kwakuwa nao wanataka kulahivi Bernard membe yupo wapi jamani
Kijasho hadi wamechangishana masalio ya hela za mifukoni kununua ushindi.Chezea Edo!Lowassa anawanyima kulala eeh?
Kafa mtu kumbe wengine waangalia nani alikuwepo wafe wao tutawaambia kina nani walikuwepo kwenye misiba yaoumeongea ukweli unatakiwa kwenda msibani sio unaenda msibani kuangalia nan kahudhuria na nan hajahudhuria