Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Heshima gani unayoiongelea wewe? Heshima kama mke au heshima kama first lady?

Heshima kama mke mbona anayo tu tena ya kutosha!?

Kama unaongelea heshima yake kama first lady.

Mkuu tuwekee wazi hapa kifungu gani cha katiba, sheria,kanuni, mwongozo kilichoweka hizo heshima ambazo wewe unasema hapatiwi huyo first lady?
Kuna mahali nimetaja mke hapa? Nitakuwa namba moja niliongelea mahusiano ya ndani ya watu
 
Pinda, augustino ramadhan na malecela walikuepo dodoma bungeni mpaka kassim majaliwa ndio aliwatamburisha......

Lowassa kutokuepo dar sidhani kama ni point sana coz mbona hata kina ngeleja hawakuepo, kalamagi, shein etc
Sio Ngeleja hakuwahi kuwa waziri mkuu

Pia... Salim Ahmed Salim hakuwepo
Cleopa David Msuya hakuwepo
Augustine Lyatonga Mrema hakuwepo (naibu waziri mkuu mstaafu)

Ngoja niishie hapa kwanza
 
Anyway acha niseme kidogo! Yawezekana pia huo ukawa ni mtazamo wako ambao unaweza pelekea kuweka assumption nyinginyingi, nikianza na hoja ya mama wa taifa sina ushahidi kuwa alizimia! Na kama kweli basi si lazima mtu awe ndugu yako ndio uzimie hapo ni suala la emotional au inspire! Ajari ya MV bukoba iligusa wengi na wengine kuzimia! Mzee yule alikuwa mzee wa watu anayesaidia, kwani bwana mdogo Paul makonda angezimia tungesema ndugu yake? Ila kwa sababu alisaidiwa mpaka kufikia hapo ndio maana ya kulia sana, ndugai, mwakyembe na wengine wengi waliozimia hukuwaona!!? Suala la lowasa kutoonekana! Kuna wakati unaweza kuzuiwa na daktari wako usihudhurie eneo la matukio ya kuumiza kutokana na tatizo ulilonalo wakati huo so hiyo inaelezeka ndio maana hata tetemeko la bukoba hujamuona mkuu wa nchi hutegemeana na maelekezo ya madaktari au washauri wa karibu unaweza kutunguliwa! Kuhusu mtoto wa mkulima nikurekebishe kidogo alikuwepo Dodoma na aliaga mwili hukuwa makini tu kuona ila tuliokuwepo Dodoma tulimuona na kusalimiana nae! Nawasilisha @ mhigwa one!

Mhigwa one hongera sana, angalau umeonesha tofauti kati ya watu wenye kuweza kufikiri na wale wasiojishughulisha kufikiri. Tanzania yetu imejaa watu wengi wasiojua kuwa kufikiri kuna venues nyingi kama zilivyo barabara za kwenda sokoni. Sio lazima upite njia moja ufike kuna njia nyingine pia. Ukifikiri kwa njia moja tu bila kuipima usahihi na ukweli wake utaishia kufanya vituko. Tungekuwa tunafikiri tofauti kisha kuipeleka public the best option hata mijadala yetu katika jukwaa kama JF ingekuwa na maana. Lakin mmmnhhh. kila siku tunamsingizia Mungu, eti kazi ya Mungu haina makosa. Hivi kweli Mungu ndiye aliyachagua kuwa watanzania wengi tusiwe na uwezo wa kufikiri?
 
Naongezea Mfano.
Mzee Mandela alizuiwa na madaktari wake kuja ktk msiba wa Mwl.Nyerere..
Sina uhakika kama Hayati Samuel Sitta aliwahi kumtusi Mh.Lowasa juu ya Afya yake....manake naye ana moyo wa nyama huumia na kupata uchungu.
Vuta kumbu kumbu mkuu
 
you can see potentiality ya ENL. I always say ENL ni kama maji (usipoyanywa basi utayaoga, usipoyaoga basi utayanywa, usipoyaoga basi utayafulia nguo nk) yaani hadi kina Le Mutuz wanam-miss...they all need to see him in every event. of all key national figures zilizohudhuria lakini absence ya ENL inawaumiza watu. huyu ndio Prezidaa by 62% (Steve Wassi-raa, 2016).
 
Pinda, augustino ramadhan na malecela walikuepo dodoma bungeni mpaka kassim majaliwa ndio aliwatamburisha......

Lowassa kutokuepo dar sidhani kama ni point sana coz mbona hata kina ngeleja hawakuepo, kalamagi, shein etc

Lowasa ni issue maana sikuzote huwa mbele katika mambo haya.. Hao wengine hata si wa kuwazia kivile. Anyway, sibishi sana ni jinsi nlivyoona Mimi tu, I may be wrong or ryt
 
Heshima gani unayoiongelea wewe? Heshima kama mke au heshima kama first lady?

Heshima kama mke mbona anayo tu tena ya kutosha!?

Kama unaongelea heshima yake kama first lady.

Mkuu tuwekee wazi hapa kifungu gani cha katiba, sheria,kanuni, mwongozo kilichoweka hizo heshima ambazo wewe unasema hapatiwi huyo first lady?

Embu jaribu kuangalia ukaribu wa JK na Mkewe Mkapa na mkewe, japo ni wastaafu lakini wapo bega kwa bega kote waendako ktk shughuli za kijamii... Kwanini huyu hapewi that priority? Me mwenyewe kabla sijafukuza mke wangu nliambatana nae kila mahali
 
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sita kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabai Sita hakwenda na Mama.

Pili, Lowasa amekua akisifiwa kua na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sita asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.
Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikua macho yangu kupoteza umakini maana na yy sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekua anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaid shamba kuliko kumuaga Spika wake

Ni hayo tu

Mtoto wa mkulima alikuwemo Bungeni
 
big up lowasa kwa kutofika maana inafikia kipindi fulani unafiki inabidi uuweke pembeni
 
Embu jaribu kuangalia ukaribu wa JK na Mkewe Mkapa na mkewe, japo ni wastaafu lakini wapo bega kwa bega kote waendako ktk shughuli za kijamii... Kwanini huyu hapewi that priority? Me mwenyewe kabla sijafukuza mke wangu nliambatana nae kila mahali
mke raha sana
anaembeza mke wake ujue wanamigogoro ya ndani
 
Mbona Cleopa Msuya hakuwepo au naye ni adui yake? Maneno ya jikoni tu.Na kuzika ni lini limekuwa sharti la uongozi bora?Acheni wafu wazike wafu wenzao.
 
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sita kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabai Sita hakwenda na Mama.

Pili, Lowasa amekua akisifiwa kua na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sita asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.
Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikua macho yangu kupoteza umakini maana na yy sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekua anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaid shamba kuliko kumuaga Spika wake

Ni hayo tu

Mkuu EX-PM Pinda alikuwepo Dodoma bungeni kumuaga Hayati Sitta
 
Naongezea Mfano.
Mzee Mandela alizuiwa na madaktari wake kuja ktk msiba wa Mwl.Nyerere..
Sina uhakika kama Hayati Samuel Sitta aliwahi kumtusi Mh.Lowasa juu ya Afya yake....manake naye ana moyo wa nyama huumia na kupata uchungu.
kuna video youtube mzee samweliii akimtusii lowasa juu ya utajiri wake na ufisadiiii
 
Kama ni kweli hatatokea huko daah itasikitisha sana sana hata vitabu vya mungu vitamuogopa sana kwani vinakataza vinyongo na visasema tusameheane saba mara sabini
 
Kama ni kweli hatatokea huko daah itasikitisha sana sana hata vitabu vya mungu vitamuogopa sana kwani vinakataza vinyongo na visasema tusameheane saba mara sabini
Hakuhudhuria pia mazishi ya Peter Abdallah Kisumo.
 
Back
Top Bottom