Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
Nimeweka makusudi ili kujua black masks white souls aka mbwa wa kujitakia wa wazungu. Hivyo, nakubaliana na ushauri wako.Pigania haki nchini kwako, ya wazungu yamekuvuka kimo kwa mbali sana.
Nimeweka makusudi ili kujua black masks white souls aka mbwa wa kujitakia wa wazungu. Hivyo, nakubaliana na ushauri wako. kuwa nina matatizo ya akili ya ukombozi wa weusi wasiojitambua ambao kwa mfano Tanzania wameachia wahindi wawabugue na kuwaibia bila kujitetea.Ww una matatizo,,the vice versa is true...Identity ya muuaji Unaijua au ni mihemuko...au ww ni polisi uko uingereza
Nimeweka makusudi ili kujua black masks white souls aka mbwa wa kujitakia wa wazungu. Hivyo, nakubaliana na ushauri wako.
Umeshasikia waingereza wakilia mbona Tanzania haijatoa tamko au Africa kwa ujumla...Balozi wetu Uingereza ahudhurie mahakamani kila siku kesi hiyo itakapotajwa. Pia amtie moyo mtuhumiwa kwa maneno, " never give up. "
Heri mimi kilaza kuliko wewe msengeee unayewaabudia wazungu bila kujua chochote. What a piece of shit that you areKilaza tu wewe, hujui chochote, hakuna cha makusudi yoyote.
Mbona kuna matukio mengi ya kigaidi yamefanywa na watu ambao sio wazungu na sio wazaliwa wa UK lakini polisi hawakuwaua!!Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
..Balozi wetu Uingereza ahudhurie mahakamani kila siku kesi hiyo itakapotajwa. Pia amtie moyo mtuhumiwa kwa maneno, " never give up. "
MBONA MUUAJI NI MSOMALI? NI MSOMALI NDO AMEMCHOMA KISU.Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
Kitengo cha upelelezi wa matukio ya kigaidi unafanya uchunguzi kulingana na Sky news , Aljazeera English na CNNTukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
NI MSOMALI NDO AMEMCHOMA KISU CHA KIFUA NA KUMUUA.Ww una matatizo,,the vice versa is true...Identity ya muuaji Unaijua au ni mihemuko...au ww ni polisi uko uingereza
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
Angalizo alichoandika kuwatuumu wazungu:NI MSOMALI NDO AMEMCHOMA KISU CHA KIFUA NA KUMUUA.
Kwani na nyinyi si muishi kwa taratibu zenu, tatizo liko wapiTukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?