Well said Mkuu , nashangaa mbona mabaya ya Nyerere na mazuri yake yanajadiliwa kila siku na wala hatuoni thread zikifungwaGJHariohay, I am in the same view. Kilinichonishtua ni Jamiiforums kuamua kufunga threads zote zilizokuwa zinamjadili John Komba kwa "mabaya" aliyoyafanya wakati wa uhai wake.
Kuna msemo maarufu hapa JF unaosema "Ficha Upumbavu wako; Usifiche Hekima yako!" Lakini walichofanya JF ni kuficha "upumbavu" wake, bila kutuonyesha "hekima" zake. Invisible na wenzako mmetunyima uhuru wa kuongelea mazuri na mabaya ya John Komba.
Kuna wanasiasa wengine ambao ni worse than Komba kwa kuharibu hii nchi kwa faida zao binafsi nao muda wao wa kukaa hapa duniani ukifika, mtafunga zile threads zao zote zilizokuwa zinajadili mabaya yao wakati wa uhai wake?
Ni kama vile mnaweka bad precedent na kama hamtazifunga thread za wengine pia, itabidi mtoe justification kutofanya hivyo. I thought here is "where we dare to talk openly".
Kuongelea mabaya ya Komba siyo kumnaga marehemu, bali ni kuwapa watu uhuru wa kujadili pande zote mbili za kuhusu yeye. Mfano, alipofariki Margaret Thatcher niliweka thread siku ya mazishi yake: Margaret Thatcher funeral: a "fitting tribute?" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Watu walijadili openly including mabaya yake kama kumwita Mandela gaidi. Lakini thread haikufungwa. Sasa hii "rule" ya kutojadili mabaya ya marehemu ina-apply kwa marehemu wa Kitanzania tuu?
Labda mmeamua kufunga hizo threads kwa muda, I hope mzifungua ili watu wawe na uhuru wa kuchangia siyo tuu kwa mazuri ya Komba, bali pia kwa mabaya yake if after all we all agree that we are not perfect.
Pia itawapa nafasi watawala wengine wajue ni jinsi gani they have lost touch na wananchi wanaodai kuwawakilisha kiasi kwamba hata ikifika ile siku yao itakuwa business as usual kwa wawakilishwa.
Vinginevyo tutakuwa tunatengeneza mazoea kwa baadhi ya wanasiasa kudhani kuwa mabaya waliyoifanyia hii nchi na watu wake yatasahaulika na kamwe hayatajadiliwa tena pale tuu watakapoiaga dunia.
Na mie siyo perfect, though siyo mwanasiasa, still I may have done what in the views of others is good and wrong na siku nitakapoiaga dunia ruksa kujadili mabaya niliyofanya na siyo mazuri tuu.
watawakamata vip wakati albino wanatumika kwenye matambiko ya kuwania madaraka?!!!!!Nyie wenye hofu ya Mungu mtusaidie kukamata wale wanaouwa albino manake sie wananchi hatuna jeshi nyie ndio wenye jeshi.
GJHariohay, I am in the same view. Kilinichonishtua ni Jamiiforums kuamua kufunga threads zote zilizokuwa zinamjadili John Komba kwa "mabaya" aliyoyafanya wakati wa uhai wake.
Kuna msemo maarufu hapa JF unaosema "Ficha Upumbavu wako; Usifiche Hekima yako!" Lakini walichofanya JF ni kuficha "upumbavu" wake, bila kutuonyesha "hekima" zake. Invisible na wenzako mmetunyima uhuru wa kuongelea mazuri na mabaya ya John Komba.
Kuna wanasiasa wengine ambao ni worse than Komba kwa kuharibu hii nchi kwa faida zao binafsi nao muda wao wa kukaa hapa duniani ukifika, mtafunga zile threads zao zote zilizokuwa zinajadili mabaya yao wakati wa uhai wake?
Ni kama vile mnaweka bad precedent na kama hamtazifunga thread za wengine pia, itabidi mtoe justification kutofanya hivyo. I thought here is "where we dare to talk openly".
Kuongelea mabaya ya Komba siyo kumnaga marehemu, bali ni kuwapa watu uhuru wa kujadili pande zote mbili za kuhusu yeye. Mfano, alipofariki Margaret Thatcher niliweka thread siku ya mazishi yake: Margaret Thatcher funeral: a "fitting tribute?" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Watu walijadili openly including mabaya yake kama kumwita Mandela gaidi. Lakini thread haikufungwa. Sasa hii "rule" ya kutojadili mabaya ya marehemu ina-apply kwa marehemu wa Kitanzania tuu?
Labda mmeamua kufunga hizo threads kwa muda, I hope mtazifungua baadae ili watu wawe na uhuru wa kuendelea kuchangia siyo tuu kwa mazuri ya Komba, bali pia kwa mabaya yake if after all we all agree that we are not perfect.
Pia itawapa nafasi watawala wengine wajue ni jinsi gani they have lost touch na wananchi wanaodai kuwawakilisha kiasi kwamba hata ikifika ile siku yao itakuwa business as usual kwa wawakilishwa.
Vinginevyo tutakuwa tunatengeneza mazoea kwa baadhi ya wanasiasa kudhani kuwa mabaya waliyoifanyia hii nchi na watu wake yatasahaulika na kamwe hayatajadiliwa tena pale tuu watakapoiaga dunia.
Na mie siyo perfect, though siyo mwanasiasa, still I may have done what in the views of others is good and wrong na siku nitakapoiaga dunia ruksa kujadili mabaya niliyofanya na siyo mazuri tuu.
Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi Amen..
Komba hakuwahi kujibu tuhuma dhidi ya kauli zake, na wala hakuomba radhi pale alipomsema mzee Warioba. Leo kwanini watu walazimishwe kuongelea mazuri yake tu.
Hili lingesaidia sana wanasiasa kuelewa ni jinsi gani jamii ilivyowachoka na pengine kuwapa muda wa kutafakari watapoondoka watakumbukwa kwa nini.
Madeni mabaya sanaaaaaa...huyu kafeli maisha wakati jua limezama ..shule ina wahitimu wa 3 na wote wamefeli anakuwa hafi mtu wa hivi?
View attachment 231218
EMT Mzee Warioba hakujibu, wala hatukuwahi kusikia wanae au wajukuu wakijibu.
Hatukusikia nduguze Komba wakizungumzia kauli za mzee Wao. Walichokiona ni ubunge na hadhi yake
Leo tunashauriwa tusahau maumivu waliyopata familia ya Warioba kwa utabiri wa kifo cha mzee tena kwa kuharibu nchi.
Tunatakiwa tueleze mazuri sana ya Komba, tukijua fika uzuri ulikuwa na upande wa pili uliojaa giza na ukakasi
Hili la Komba lingeachwa tu ajadiliwe kwa kadri ya kile alichokifanya
Ni jambo linaloeleza uhalaisia wa mazingira tuliyo nayo na viongozi walipaswa wasome nyuzi zinazomweleza Komba kwa uangalifu. Tunajua hawawezi kubadilika kwasababu ya kiburi, lakini jamii lazima ibadilike kwa kuwaambia ukweli.
Tuache unafiki wa kudhulumu nafsi tukijua wazi nafsi hazipo katika risala, bendera au maua.
Nafsi zinamwangalia Komba kwa ujumla wake. Tusiziweke nafasi za watu utumwani!
Nimebahatika kupata taarifa za misiba za watu wengi tu nikiwa harusini...
Wakati Wa kifo cha Nyerere watu hawakuona raha ya harusi lakini nikushuhudie Jana watu pamoja na kusikia Komba kafa Harusi iliendelea na masham sham Kama kawaida.....
Halafu wachawi na majahili tu ndo huheshimu Sana vifo kwa unafiki wao lkn kwa wengine ni jambo la kawaida kwani huwapata binadamu wote....
Komba angemjua Mungu unaemsema asingemnenea Warioba ufedhuli ule....
Nanyi mnemjua Mungu msingeacha wajawazito wateseke kulala chini na wagonjwa kufa kwa kukosa dawa huku mapesa mkipeleka kwenye katiba isiyo na Tija...
Mawazo mabovu kabisa utawasaidia nini wafiwa kwa kuwaambia uongo wajane kuhusu matendo ya marehemu. Kama marehemu kafa kwa ujambazi na wewe unawaambia watoto wake kafia kanisani akikusanya sadaka utakuwa unawasaidia au kuwapotosha.Ndiyo maana mtu akifa husemwa kwa mazuri hata kama ni ya uongo ili kuifariji familia na hata ukisema mabaya yake atajitetea vipi naye kisha kufa?
Roho ya mavi unayo mwenyewe.Ukweli utasemwa tu,hata kama mtavimba hadi mpasuke.Mnazidi kumzidishia Mnyika Dhambi. Muombeeni aondokane na roho ya mavi hiyo siku moja naye atalala kama Komba kwenye jeneza.