Kifo cha kampuni ya mabasi SCANDINAVIA EXPRESS

Baba deci.magari yao mengi yamekamatwa yako yadi kule mbagala.nadhani yanayoonekana wadai hawana haja nayo sana
 
Poiltics..is a dirty game so if you have to stick with politicians you will get dirty in the process especially if you speak of politics + poverty+ignorance +iopportunism.
What is the general feeling,threatening to remove tax exemptions and withdrawing of the proposal by the govt? I hypothesize as follows hi:the state withdrew the proposal to pre-empt the members of parliament(the legislative) h2:the government used the issue as a trick to gauge support or power of the religious bodies in the forthcoming elections:
What jf forum members have to say on this?
 
Hawa Jamaa wa SCANDINAVIAN EXPRESS bado nawaona barabarani.

Kumbe bado hawajafilisika? Mwenye details atuhabarishe.
 
Hawa Jamaa wa SCANDINAVIAN EXPRESS bado nawaona barabarani.

Kumbe bado hawajafilisika? Mwenye details atuhabarishe.

Ndugu yangu, wewe ndio uliyekuwa na hii habari, ukatunga kichwa cha thread, ukapost infos and finaly thread, wachangiaji wakachangia.

Allien, with all due respect, ingekuwa vema ukarefute maelezo yako ya awali kabla hujaomba mwenye habari zaidi ahabarishe.
 
Halafu walikuwa on time hata kama wana abiria mmoja! nadhani hili pia lilichangia kuanguka kwa kampuni maana walikuwa wanapata hasara!

Makampuni mengine waliwaangalia tu...sasa makampuni kama Abood, Hood, dar express yapo siku zote mbona hayafilisiki? Au hayakuchukui mikopo?
wamiliki wake ni viongozi wa CCM kwani we hujui hilo?
 
Ndugu yangu, wewe ndio uliyekuwa na hii habari, ukatunga kichwa cha thread, ukapost infos and finaly thread, wachangiaji wakachangia.

Allien, with all due respest, ingekuwa vema ukarefute maelezo yako ya awali kabla hujaomba mwenye habari zaidi ahabarishe.

Mkuu;

Walau ufanye uchunguzi kabla hujapost; ni kweli mimi nilipost lakini wewe huoni kuwa pana source ya habari hii na si wala source si mimi? Kupost thread haina maana unazo taarifa zote.

Kazi kweli kweli . . . .
 
Kwa vile wewe ndye uliteleta 'source' ya habari, ungeifuatilia nadhani ungeweza either kupata jibu ya swali lako juu ya habari uliyoileta au unegleta habari zaidi.
 
Kwa vile wewe ndye uliteleta 'source' ya habari, ungeifuatilia nadhani ungeweza either kupata jibu ya swali lako juu ya habari uliyoileta au unegleta habari zaidi.

Ooops! Kumbe ni post yako ya 19. Ndiyo maana . . . hujaijua vema JF. Si lazima mleta habari aifuatilie yeye. Watu wengine wanaweza wakawa wanajua zaidi. Kwanza fuatilia thread hii ujue wadau waliongelea nini.

Hata hivyo karibu JF.
 
kwa kuwa ni post ya 19 ndio nisihoji, unajua nimekuwa nikisoma na kufuatilia JF kwa ukaribu kwa muda gani hadi ufikie kusema eti 'sijaijua vema JF'? By the way, I know you are among those short tempered members, hivyo haitakuwa vizuri kukucriticise au kuhoji sana.

Tafakari...chukua hatua.
 
Experience ya kusoma na kupost na kushiriki mijadala ni tofauti kabisa. Usijali, ambaye atakuwa na ufahamu zaidi atakuja kutuhabarisha. Sikuuliza swali kwa malumbano yasiyo na tija.

Also good advise; watch out what u post. Tafakari kabla ya kupost. Na si lazima upost for the sake of posting.
 
kwa kuwa ni post ya 19 ndio nisihoji, unajua nimekuwa nikisoma na kufuatilia JF kwa ukaribu kwa muda gani hadi ufikie kusema eti 'sijaijua vema JF'? By the way, I know you are among those short tempered members, hivyo haitakuwa vizuri kukucriticise au kuhoji sana.
Tafakari...chukua hatua.

Naona unapenda ligi zisizokuwa na msingi. Kuna kisichojitosheleza katika thread hii? Ungeweza kuwa miongoni mwa waijuayo vyema hiyo kampuni na ukaweka taarifa kamili baada ya Alien kuona hilo bandiko na kuliweka hapa, na wala sio kazi ya mbandika hoja kusaga lami kutafuta ncha zote za habari aliyoiweka haswa pale ambapo source yake ipo wazi.

By the way, watu hawafanyi shahada za uzamivu/falsafa hapa.
 
Hawa Jamaa wa SCANDINAVIAN EXPRESS bado nawaona barabarani.

Kumbe bado hawajafilisika? Mwenye details atuhabarishe.

TENAA? ,Mtoa thread unataka kujuzwa??? ina maana data ulizo toa huna info kamili? am worried na thread yako!!:rolleyes:
 
Naona unapenda ligi zisizokuwa na msingi. Kuna kisichojitosheleza katika thread hii? Ungeweza kuwa miongoni mwa waijuayo vyema hiyo kampuni na ukaweka taarifa kamili baada ya Alien kuona hilo bandiko na kuliweka hapa, na wala sio kazi ya mbandika hoja kusaga lami kutafuta ncha zote za habari aliyoiweka haswa pale ambapo source yake ipo wazi.

By the way, watu hawafanyi shahada za uzamivu/falsafa hapa.

You said it all Mkuu Nono . . .

Hata hivyo tumlee kijana wetu kwa upendo. with time atajua rules of the game.

Ananikumbusha sana habari ya Kumkoma Nyani na PUMBA!
 
Biashara ya mabasi inahitaji adabu ya hali ya juu. Uzembe kidogo unapoteza abiria wote. Hela ya mabasi haitakiwi kuendesha viwanda au biashara nyingine zisizo na usimamizi. Faida ya mabasi inatakiwa ijenge biashara ya mabasi, hasa kuheshimu abiria.
Hawa jamaa wa Scandinavia bado walikuwa na jina
 
Mara nyingi usilolijua linakusumbua,baadhi ya wakubwa ambao walikuwa wameweka pesa zao walipozivuta ndo chombo kilipoenda mrama wakuu....
sasa zaidi yahapo sisemi lakini ndo ukweli huo.

Sijabisha mkuu!
'Huenda' kukawa na majina ya wakubwa katika umiliki wa kampuni hiyo kongwe.
Ila hao wakubwa wa kufikirika na kusadikika hawamo katika "Official Management" ya kampuni, kwa hiyo hatuna haja nao wala kujua ni akina nani. Jamaa wwa Scandinavia wametetereka kutokana na ushindani mkali wa mabasi mengine na madeni yanayotokana na mikopo kutoka CRDB, Shell, BP na NBC ambao hadi leo wameshikilia baadhi ya mabasi yao. Hizi ndio taarifa rasmi kutoka kwa Bw. Abdulla, alikana hadharani suala la wakubwa kuimiliki kampuni hiyo.
 
Walianza kwa kufunga ofisi zao za Kampala, wakaja za Nairobi then wakahamia za TZ huko Dodoma, Morogoro na Mbeya juzi juzi na final Zambia.

Wale wa Dodoma wanadai kampuni imeuzwa na mnunuzi ana mpango wa kubadili jina...

Hivyi ni kweli? dah! Nitayamiss sana mabasi yale coz ulikuwa usafiri wa uhakika.
 
Back
Top Bottom