kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Feb 23, 2015 #201 Jaman haya mabasi ndo basi tena?
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,762 Reaction score 6,856 Mar 22, 2016 #202 ukisoma threaf za zamani na sasa utagundua tofauti flani . Ndo maana wazee huwa wanatunanga kuwa elimu ilikuwa zamani na si sasa....
ukisoma threaf za zamani na sasa utagundua tofauti flani . Ndo maana wazee huwa wanatunanga kuwa elimu ilikuwa zamani na si sasa....
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,762 Reaction score 6,856 Mar 22, 2016 #203 isomeke "Thread"
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,802 Apr 1, 2016 #204 Wanasiasa walileta siasa
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 7,828 Reaction score 8,441 Apr 1, 2016 #205 Biashara za Tanzania mara nyingi zinashamiri sababu ya baadhi ya wahusika kuwa waahiriki wa siasa. Pale wanapokoma na kampuni zinakoma kuendelea
Biashara za Tanzania mara nyingi zinashamiri sababu ya baadhi ya wahusika kuwa waahiriki wa siasa. Pale wanapokoma na kampuni zinakoma kuendelea