Kifo cha hayati Magufuli kuwa moja ya ajenda kubwa uchaguzi 2025. CCM itapasuka na mengi yataibuka

Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Mabeberu wanajua kutengeneza division, haikuwa bahati mbaya huyo mtu kuuliza hayo maswali kwenye ile hadithi...Alijua pakugusa ili kuvuruga akili za watu...Tutafute katiba yetu ili kuwavuruga na wao mipango yao
 
Nina premonition huwa naiexperience mara kwa mara...kiongozi Fulani wa serikali yuko jukwaani amekasirishwa na jambo Fulani akasema "Aya tulimuua mtatufanya nn?"
 
Back
Top Bottom