Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

ataachwa baada ya kuwa katumika sana na ujue mwanamme hazeeli ndo pale mzee wa miaka 60 anaoa ke wa miaka 25 sio kesi ila sasa mwanamke wa miaka hata 50 kuolewa na me wa miaka hata tuseme 40 kila mtu atajua sio tv, radio magazeti vyote vitakutangaza na hata asiyekufaham atakusimanga kivyake bro upo hapo
Bora umeelewa
 
Bandugu japo tunaongea kiutani lakin haya mambo yapo tena sana na mm nilishayashuhudia kwa marafk na baadh ya ndugu zangu had najikuta nawaonea huruma mashemeji watu. Kwan kuna mmoja hadi leo hii ana miaka 35 lakin ushangae dadake ndo anamnunulia kila kitu had na mke wake instead dada mtu ampe hata mtaji apambane lakin kwa kudekezwa na dadake kajisahau had leo hii mwanamme kuja ifikd pahala had sabun ya kuoga unampgia dadako akununulie huon hapo n majanga. Na ww Daudi1 jarbu umfundishe shemejio kazi sio kumuacha ndan we unaenda kupokea za wananchi huko shauri yako ipo cku utakuta kapiga suti yako anaringishia mtaani sijui utamkasrikia au utamgombeza wife
 
tatizo hauna dada wa kumtegemea maana wote wamekua vimada tu, kwaiyo usitake kutugombanisha mi na dada angu
wala sio hivo wote wana maisha naskia n mazur tu wamejenga kwao bro mm tu ndo ckupenda kwenda kwao kwan kamuoa dada na sio mim kwan nikae kwake mm n nyongeza kwa mke wake hapo hata kwa dawa piga ua galagaza kwao siend na sitaenda unless mda wa matatizo hata wasipochunga ntamtuma wife japo cna
 
Fanya uwe na mke ndg yangu umri umesonga huo.
 
Bandugu japo tunaongea kiutani lakin haya mambo yapo tena sana na mm nilishayashuhudia kwa marafk na baadh ya ndugu zangu had najikuta nawaonea huruma mashemeji watu. Kwan kuna mmoja hadi leo hii ana miaka 35 lakin ushangae dadake ndo anamnunulia kila kitu had na mke wake instead dada mtu ampe hata mtaji apambane lakin kwa kudekezwa na dadake kajisahau had leo hii mwanamme kuja ifikd pahala had sabun ya kuoga unampgia dadako akununulie huon hapo n majanga. Na ww Daudi1 jarbu umfundishe shemejio kazi sio kumuacha ndan we unaenda kupokea za wananchi huko shauri yako ipo cku utakuta kapiga suti yako anaringishia mtaani sijui utamkasrikia au utamgombeza wife
🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom