Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Ukinipenda wewe inatosha shemeji anakaa sebuleni tuu, kazi kubadilisha channel hata bei ya kifurushi hajui, akalime karanga tu
Ngoja nikupe code we muhuni uliezeheka, nature inataka ukioa utupende sana ndugu wa mkeo maana ndo tumeshika hatma ya ndoa yako, sio unakaa unaninanga kwa tv gani hapa hili la chogo?
 
Ngoja nikupe code we muhuni uliezeheka, nature inataka ukioa utupende sana ndugu wa mkeo maana ndo tumeshika hatma ya ndoa yako, sio unakaa unaninanga kwa tv gani hapa hili la chogo?
ila inategemeana ndugu mm dada zangu wameolewa wote mkubwa nnaemfatia mim kaolewa mwaka 2000 lakin kwake nimeenda mara mbili tu siku ya kwanza kufata mahari mara ya pili alikuja akaacha watoto wasalimie nikawarudisha na hata ckulala huko hadi waleo. Ukifanya mazoea kwa dadako kwel lazma ulimishwe na pia hata kudekishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom