Single The Loner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 820
- 1,391
ndo maana nakupenda dadaangu utaki kuona nanyanyaswa wakati we upo.Sasa c yupo kwa dada ake muache ajiachie bhn kazi yakulima tutawapa Tumwesige senior na Mopak
ndo maana nakupenda dadaangu utaki kuona nanyanyaswa wakati we upo.Sasa c yupo kwa dada ake muache ajiachie bhn kazi yakulima tutawapa Tumwesige senior na Mopak
Huyo dada yako wewe sio km dada angu mimi miana amor mtoto kazaliwa faransa uko,ila inategemeana ndugu mm dada zangu wameolewa wote mkubwa nnaemfatia mim kaolewa mwaka 2000 lakin kwake nimeenda mara mbili tu siku ya kwanza kufata mahari mara ya pili alikuja akaacha watoto wasalimie nikawarudisha na hata ckulala huko hadi waleo. Ukifanya mazoea kwa dadako kwel lazma ulimishwe na pia hata kudekishwa
ndo utajua hujui sasa na ufaransa huo yey atakwambia sorry bro tayar ushalimishwa na hapo shemejio anakomalia kuwa unafanya mazoez. Kwa dada kaa masaa sepa hata bila kuagaHuyo dada yako wewe sio km dada angu mimi miana amor mtoto kazaliwa faransa uko,
yupo bongo bahati mbaya,
mambo yake ya ulaya ulaya.
Huyo Daudi1 wako amejikuta tu yupo dadaangu, wala sio type yake kabisa yaani mpaka leo hajuwi amempataje! akibugi kidogo tu anaachwa.Anaenifata sasa ndo cjui hata wanaish wapi na ushangae wote tupo dar ila kila mtu na 50 zake hao wengne ndo hata cjui waume zao had kuna mwingne tulirushiana ngumi kisa amelewa badae natumiwa picha whatsp kuwa shemej yako kaumia kuangalia sura ilibd kwanza nikae chn nicheke ila tuliyamalza kiume. Mda mwing tumekua tukipshana wakija home sipo so Daudi1 yupo sawa kabsaa kamlishe huyo hata ikiwezekana mfulishe kabsaa
Aweeeee mm kwangu hakuna kulima wala kuvuna,kwangu ni kula na kulala na mpk ela ya bando ntakupaila inategemeana ndugu mm dada zangu wameolewa wote mkubwa nnaemfatia mim kaolewa mwaka 2000 lakin kwake nimeenda mara mbili tu siku ya kwanza kufata mahari mara ya pili alikuja akaacha watoto wasalimie nikawarudisha na hata ckulala huko hadi waleo. Ukifanya mazoea kwa dadako kwel lazma ulimishwe na pia hata kudekishwa
Ww nisikilize mm achana na uyo mwenyekitiNgoja nikupe code we muhuni uliezeheka, nature inataka ukioa utupende sana ndugu wa mkeo maana ndo tumeshika hatma ya ndoa yako, sio unakaa unaninanga kwa tv gani hapa hili la chogo?
Mm c nilikwambia kaniroga uyuHuyo Daudi1 wako amejikuta tu yupo dadaangu, wala sio type yake kabisa yaani mpaka leo hajuwi amempataje! akibugi kidogo tu anaachwa.
Na hakuna wakukunyanyasa mm nikiwepondo maana nakupenda dadaangu utaki kuona nanyanyaswa wakati we upo.
Umemaliza kipenzi changu😍😍Huyo dada yako wewe sio km dada angu mimi miana amor mtoto kazaliwa faransa uko,
yupo bongo bahati mbaya,
mambo yake ya ulaya ulaya.
Mopak umeiskia hiyo?Aweeeee mm kwangu hakuna kulima wala kuvuna,kwangu ni kula na kulala na mpk ela ya bando ntakupa
We usimfundishe mdg wangu tabia mbaya🤣🤣ndo utajua hujui sasa na ufaransa huo yey atakwambia sorry bro tayar ushalimishwa na hapo shemejio anakomalia kuwa unafanya mazoez. Kwa dada kaa masaa sepa hata bila kuaga
Mi sina tatizo na shem wangu ila tatizo majirani hawa akina MopakWw nisikilize mm achana na uyo mwenyekiti
Vumilia dadaangu kwa kuwa umeamua mwenyewe kumpenda mchawiMm c nilikwambia kaniroga uyu
🤣🤣🤣akuuuu asije akanifundisha na mm kuwangaVumilia dadaangu kwa kuwa umeamua mwenyewe kumpenda mchawi
ataachwa baada ya kuwa katumika sana na ujue mwanamme hazeeli ndo pale mzee wa miaka 60 anaoa ke wa miaka 25 sio kesi ila sasa mwanamke wa miaka hata 50 kuolewa na me wa miaka hata tuseme 40 kila mtu atajua sio tv, radio magazeti vyote vitakutangaza na hata asiyekufaham atakusimanga kivyake bro upo hapoHuyo Daudi1 wako amejikuta tu yupo dadaangu, wala sio type yake kabisa yaani mpaka leo hajuwi amempataje! akibugi kidogo tu anaachwa.
bro wako usimpe samaki bali mpe nyavu avue mwenyewe samak ama umfundishe kuvua ila kumpa kila kitu had bando unamlemaza dada miana amorAweeeee mm kwangu hakuna kulima wala kuvuna,kwangu ni kula na kulala na mpk ela ya bando ntakupa
kwahiyo nimewaoa wote? kiasi cha kumuonea dada yako wivu? Tv hii hii ya chogoNgoja nikupe code we muhuni uliezeheka, nature inataka ukioa utupende sana ndugu wa mkeo maana ndo tumeshika hatma ya ndoa yako, sio unakaa unaninanga kwa tv gani hapa hili la chogo?