Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Mim km mke wa muheshimiwa mwenyekiti natoa kibali kwa niaba ya mwenyekiti chake

Andamaneni na mkimpata mtieni makwenzi kidogo ndo mumlete hapa ofisin😅😅😅
Niliwaambia niwape msaada tatizo mwenyekit wenu hamniheshimu mnanivunjia heshima mpaka kwa mke wangu

vijana hamna adabu ngoja alosto iwanyoshe
 
mme wa mtu kwani wengne wa minyama. Mwachie mmeo apige hata patrol vibaka wengi mtaani mtafungiwa milango kwa nje nyie afu kawaida mwenyekiti anaejua wajibu wake hana mda maalum kazi kazi au unaogopa ataenda kwa mchepuko wake
Eeeh asije akaenda kilabuni bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom