Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 2,117
- 5,240
- Thread starter
- #1,081
Nimekuja mamaAbou Shaymaa Mama mwenyekiti nakuita
Nimekuja mamaAbou Shaymaa Mama mwenyekiti nakuita
😅Yaani inakufanya unakuwa teja
Unatuteketeza kwa arostoNimekuja mama
Mwenyekiti huo sasa ni wivuunamuita wa nini, cha asubh haujanipa unakimbilia huku rudi ndani
Yaan sio akili izi big bro, dada ako nimelogwa😩😩Sister huoni aibu kujisifia kuolewa na mwenyekigoda!!! ama kweli wanawake muna huruma.
🤣🤣🤣Tamaa tu ya kumiliki watoto wazuri wakati hauna hela!! ona sasa unavyotumia nguvu nyingi kumchunga usiibiwe! yaani haujiamini amini!!!
Najiamini Bwana Shemeji huoni dada yako anajidai anajitambulisha kwa kujiamini? hapo namkumbusha majukumu yakeTamaa tu ya kumiliki watoto wazuri wakati hauna hela!! ona sasa unavyotumia nguvu nyingi kumchunga usiibiwe! yaani haujiamini amini!!!
Una uhakika?Yaan sio akili izi big bro, dada ako nimelogwa😩😩
NdioUna uhakika?
Mstue jamaa aje basiNdio
Ataki kagoma et ww Abou Shaymaa kwann lknMstue jamaa aje basi
hana bandoAtaki kagoma et ww Abou Shaymaa kwann lkn
Mwenyekiti fanya jambo bas wanakijiji wako wanateseka kwa ukuhana bando
mmeishia wapi wanakijiji?Mwenyekiti fanya jambo bas wanakijiji wako wanateseka kwa uku
sema waheshimiwa mda wa kampeni huu alah!mmeishia wapi wanakijiji?
Musijali najaAtaki kagoma et ww Abou Shaymaa kwann lkn
Pale kwa jin seni🤣🤣mmeishia wapi wanakijiji?
TwakusubiliMusijali naja
EBWANAE ETI NDIO NAREJEAMarasta nawe umezidi kuzubaa! ona sasa umepokwa mke, toka ulivyoleta posa nyumbani sijakuona tena! ulikua wapi siku zote hizo?.