fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Tatizo sina uwakika sasa kama atakuoa kwa wivu wa kaka yako. Hakikisha bikra isiwe imeenda bure kwa kijana wa kibara Tumwesige senior 😄Haya afande Mwamsenga hakikisha kiepe kinafika kwa wakati
Tatizo sina uwakika sasa kama atakuoa kwa wivu wa kaka yako. Hakikisha bikra isiwe imeenda bure kwa kijana wa kibara Tumwesige senior 😄Haya afande Mwamsenga hakikisha kiepe kinafika kwa wakati
Na maji ya kunywa🤣🤣Haya afande Mwamsenga hakikisha kiepe kinafika kwa wakati
Tumwesige senior kimbia haraka kabla ujanyonywa damuAkifanya mchezo tu damu inahusika!!!!! Si unajua koo kavu toka kwa vuai sijapata
Ya bariiidiNa maji ya kunywa🤣🤣
Mwambie aongeze na wine Mwasenga na asichelewe😁Haya afande Mwamsenga hakikisha kiepe kinafika kwa wakati
sijammendea namuita tu jamaniUmemuona Tumwesige senior ana mmendea leo dada
yaani ngoja nishikilie viatu mkononi nianze speedTumwesige senior kimbia haraka kabla ujanyonywa damu
Tatizo sina uwakika sasa kama atakuoa kwa wivu wa kaka yako. Hakikisha bikra isiwe imeenda bure kwa kijana wa kibara Tumwesige senior
Ndo hua mnaanza ivyo ivyo na vi salamu 🤣🤣sijammendea namuita tu jamani
Yaan ata nyuma usigeukeyaani ngoja nishikilie viatu mkononi nianze speed
Sister na hicho kibabu chako Daudi1 naona munapanga nyama nipate tezi dume! mi wa kunipa baiskeli kweli?.Mwenyekiti Daudi1 Mfukuze Tumwesige senior kijiji alf mali zake tuchukue ila baiskel yake apewe kaka angu Single The Loner
Marasta nawe umezidi kuzubaa! ona sasa umepokwa mke, toka ulivyoleta posa nyumbani sijakuona tena! ulikua wapi siku zote hizo?.Ewaa kijana mpole
🤣🤣🤣🤣bas tutakupa ng'ombe wa maziwaSister na hicho kibabu chako Daudi1 naona munapanga nyama nipate tezi dume! mi wa kunipa baiskeli kweli?.
Anadai alienda kutafuta pesa ya mahariMarasta nawe umezidi kuzubaa! ona sasa umepokwa mke, toka ulivyoleta posa nyumbani sijakuona tena! ulikua wapi siku zote hizo?.
Basi aendelee kusubiri mpaka mke mwema atakapoamua kutoka kwa bwana Daudi1.Anadai alienda kutafuta pesa ya mahari