Single The Loner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 820
- 1,391
Sister mi na huyo mwenyekigoda wala hatupatani.Nitamwambia shemeji yako Daudi1 Akutafutie nyumbe ya mwanakijiji mmoja akupe bure
Sister mi na huyo mwenyekigoda wala hatupatani.Nitamwambia shemeji yako Daudi1 Akutafutie nyumbe ya mwanakijiji mmoja akupe bure
hahahaaSister na hicho kibabu chako Daudi1 naona munapanga nyama nipate tezi dume! mi wa kunipa baiskeli kweli?.
Ndo hua mnaanza ivyo ivyo na vi salamu
We mpende ivyo ivyo kinafiki asije kukuamisha kijiji 🤣🤣Sister mi na huyo mwenyekigoda wala hatupatani.
Dadaangu simuelewi! ana kibwana chake kile kizee kikorofi, ila we ukimsalimia leo dada eti yeye anaona wivu!hahahaa
Mafundisho mabaya hayo dadaangu unataka ndugu yako niwe mnafiki kweli? mi huyo mzee mwenyekigoda sitamsamehe mpaka na yeye anipe dada yake.We mpende ivyo ivyo kinafiki asije kukuamisha kijiji
dada yako haeleweki najaribu kutafuta jimbo jipya napo ananiwekea kauzibe,ila inavyoonekana miana amor uzeeni atarogaDadaangu simuelewi! ana kibwana chake kile kizee kikorofi, ila we ukimsalimia leo dada eti yeye anaona wivu!
Tena naomba atekwe kabisa na watu wasiojulikana.Daudi1 mbona umetutelekeza wana nchi
nipo namuandalia mikakatiTena naomba atekwe kabisa na watu wasiojulikana.
Kazi iyo mpe Tumwesige senior amtekeTena naomba atekwe kabisa na watu wasiojulikana.
Mmmmmh unataka upewe li mbwata kama nilivyopewa mmMafundisho mabaya hayo dadaangu unataka ndugu yako niwe mnafiki kweli? mi huyo mzee mwenyekigoda sitamsamehe mpaka na yeye anipe dada yake.
🤣🤣🤣na wakwanza utakua ww kukurogadada yako haeleweki najaribu kutafuta jimbo jipya napo ananiwekea kauzibe,ila inavyoonekana miana amor uzeeni ataroga
sa mbona unasema siri! we huogopi endapo atapotea utakua mshukiwa wa kwanza? ila bwa shemeji hapo kwenye neno "mkakati" naunga mguu hoja.nipo namuandalia mikakati
ndo tupo kujadili hilo.Kazi iyo mpe Tumwesige senior amteke
haiwezekani ninyang'anywe mke alafu nitishiwe kufukuzwaKazi iyo mpe Tumwesige senior amteke
kumbe sister umepata bwana kutoka familia ya vigagula?Mmmmmh unataka upewe li mbwata kama nilivyopewa mm
sawa ila hauruhusiwi kutongoza baki hivyo hivyo kuwa towashi, mpaka siku dadaangu atoke kwa bwana.haiwezekani ninyang'anywe mke alafu nitishiwe kufukuzwa