mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Nipo dunia ya watu wanaojitambua na kuchukia udhalimu na wizi wa rasilimali za wananchi kama vile epa,escrow,richmond na mengine mengi.
Nilifikiri upo na wale misukule ya lumumba kama upo dunia ya waojitambua chochea tu kuni kwa hawa misukule manake kwa sasa popote walipo moto ukawa unawachoma mwaga petrol wabaki majivu.