Kifo cha CHADEMA kimekuwa cha ajabu kweli!

Kifo cha CHADEMA kimekuwa cha ajabu kweli!

Ndugu wanaJF,
Tumeshuhudia utabiri mwingi dhidi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), kuwa chama hiki kinakufa kwa kasi ya ajabu. Binafsi nimegundua jambo la ajabu sana kupitia kifo cha chama hiki. Kwa kadili kinavozidi kusemwa kuwa kinakufa ndivo kinavozidi kuitesa CCM. Sasa napata maswali mawili makubwa,

MOJA: Chadema kwa mwaka jana na mwaka huu, kimeonyesha kuwa kimeenea kila kona ya Tanzania. Kwamjibu wa wa wanaCCM (Nape) ni kwamba chadema kinakufa kwa kasi kila kona ya nchi?. je, nini maana ya chama cha siasa kufa kila kona ya nchi wakati huo huo kinapenya kila kona ya nchi ambako hakijawahi kufika?.

MBILI: Tangu mwaka 2010 mpaka leo, inaonyesha chadema kimezidi kupendwa na wananchi na zaidi sana tangu kuunda UKAWA watanzania wameongeza kupendana zaidi na wanaiona CCM kama shetani. Kwa hali iliyopo sasa watanzania wanakula CCM wanalala CHADEMA/CU/NCCR-Mageuzi. Tutarajie nini hapo October 2015.
Mbuzimtu - that sums up kichwa chako kina nini
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mbuzimtu,
Mpaka sasa CCM wanaomba miezi iende taratibu ili hiyo October isifike mapema.Hizo mbwembwe za Nape kuwa CDM inakufa kwa kasi ni siasa za maji taka tu.Mfano tumeuona huko Sumbawanga kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa ambako kwa matarajio ya wengi tulidhani kuwa bado kuna uelewa mdogo juu ya mambo ya siasa lakini CCM wamenyooshwa kwelikweli.Ukweli unabaki mioyoni mwao tu juu ya nini kitatokea ifikapo October 2015.
Mimi ni mpenda mageuzi lakini imani yangu bado inanituma kuwa itakuwa vigumu CDM (UKAWA) kushinda uchaguzi mkuu wa Octoba.
Ni kweli uelewa umekuwa mkubwa hasa vijijini na hili ni jambo jema lakini hila nazo zimekuwa maradufu.
Kuna hili la Slaa kuwekewa sumu na TISS wametajwa,hili si jambo jepesi na inaelekea vyombo vya dola tayari vimechukua side.
Nini kitatokea,hili ni swali letu sote ila naomba Mwenyezi Mungu aepushie mbali kwani ni umwagaji damu ambao haujawahi kuonekana.
 
Wewe umelala, mwaka wa uchaguzi huu dau limepanda sana, ni msimu wa kuvuna huu, buku 7 kwa saa ilikuwa zamani sana. Hivi magwanda mnafanya kazi ya bure? fedha anachukuwa Mtei, Mbowe na Slaa tu? mmelala kweli kweli.

Nyie kazi za kutesa, kuteka na kuyofoa kende za watu mnazifanya bure tu? kisha mnaachwa mnasota jela wenzenu wanakula bata Dubai, wanawajengea mahawara majumba ya kifahari, wanachukuwa mishahra minono bila jasho, wanaendesha mashangingi kwa fedha za ruzuku. Mtei anaongeza mabasi na ma lodging mapya halafu tukiwaita misukule mnakataa. Mnanshangaza!

Hivi kuna cha bure siku hizi? Nyie kweli misukule.

Usimwingize mzee Mtei kwenye kashfa zako. Mzee Edwin Mtei hana basi wala lodging na hizo Biashara si size yake. Kuhusu viongozi kula bata ni sawa kwani kila mtu anakula kwa kazi anayofanya na sisi wadau wa Chadema ndiyo tunawawezesha. Wewe kinakuuma nini.
 
Wewe huoni kuwa chadema kiko hoi bin taabani? ponye ponye chadema kimetolewa ICU na Raza na Lipumba wa CUF na siku mkimuudhi mhindi yule na Mnyamwezi yule, mjuwe mnarudi ICU.

heheheee hichi kimdada cha uswazi chanikosha kwel kweli natamani nikiongeze mathna sema naogopa mana ni kharaam tena mutulaq mim kujamiana na mutu wa ccm
 
Wewe umelala, mwaka wa uchaguzi huu dau limepanda sana, ni msimu wa kuvuna huu, buku 7 kwa saa ilikuwa zamani sana. Hivi magwanda mnafanya kazi ya bure? fedha anachukuwa Mtei, Mbowe na Slaa tu? mmelala kweli kweli.

Nyie kazi za kutesa, kuteka na kuyofoa kende za watu mnazifanya bure tu? kisha mnaachwa mnasota jela wenzenu wanakula bata Dubai, wanawajengea mahawara majumba ya kifahari, wanachukuwa mishahra minono bila jasho, wanaendesha mashangingi kwa fedha za ruzuku. Mtei anaongeza mabasi na ma lodging mapya halafu tukiwaita misukule mnakataa. Mnanshangaza!

Hivi kuna cha bure siku hizi? Nyie kweli misukule.

SHEMALE = Faizafoxy
 
Naona CHAGGADema/CHADOMO/CHaFUJO Mmeanzisha UZI wa kujitia moyo.Chama kimebaki kujishkiza UKAWA.Eti MTEI=CC?
 
Back
Top Bottom