Mbuzimtu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 355
- 178
Ndugu wanaJF,
Tumeshuhudia utabiri mwingi dhidi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), kuwa chama hiki kinakufa kwa kasi ya ajabu. Binafsi nimegundua jambo la ajabu sana kupitia kifo cha chama hiki. Kwa kadili kinavozidi kusemwa kuwa kinakufa ndivo kinavozidi kuitesa CCM. Sasa napata maswali mawili makubwa,
MOJA: Chadema kwa mwaka jana na mwaka huu, kimeonyesha kuwa kimeenea kila kona ya Tanzania. Kwamjibu wa wa wanaCCM (Nape) ni kwamba chadema kinakufa kwa kasi kila kona ya nchi?. je, nini maana ya chama cha siasa kufa kila kona ya nchi wakati huo huo kinapenya kila kona ya nchi ambako hakijawahi kufika?.
MBILI: Tangu mwaka 2010 mpaka leo, inaonyesha chadema kimezidi kupendwa na wananchi na zaidi sana tangu kuunda UKAWA watanzania wameongeza kupendana zaidi na wanaiona CCM kama shetani. Kwa hali iliyopo sasa watanzania wanakula CCM wanalala CHADEMA/CU/NCCR-Mageuzi. Tutarajie nini hapo October 2015.