Kifo cha CHADEMA kimekuwa cha ajabu kweli!

Baada ya ccm kumnunua Zitto waliamini hivyo vurugu kubwa kutokea ndani ya chama
Ni kweli mahesabu yao yalikuwa kwa huyu mbulula Zitto, Sasa kauli zao zinawasuta kweli...unakumbuka hata Wassira alishasema CDM itakufa kabla 2014....akatumia kauli hiyo akachaguliwa na ccm kwa kishindo lakini sasa hebu mwambie arudie tena kauli yake hiyo....
Kumbuka chadema ni Mpango wa Mungu.
 
Ndumba za kutembea na FISI haziwezi kuiua CHADEMA hata siku moja ....
Ndugu wanaJF,
Tumeshuhudia utabiri mwingi dhidi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), kuwa chama hiki kinakufa kwa kasi ya ajabu. Binafsi nimegundua jambo la ajabu sana kupitia kifo cha chama hiki. Kwa kadili kinavozidi kusemwa kuwa kinakufa ndivo kinavozidi kuitesa CCM. Sasa napata maswali mawili makubwa,

MOJA: Chadema kwa mwaka jana na mwaka huu, kimeonyesha kuwa kimeenea kila kona ya Tanzania. Kwamjibu wa wa wanaCCM (Nape) ni kwamba chadema kinakufa kwa kasi kila kona ya nchi?. je, nini maana ya chama cha siasa kufa kila kona ya nchi wakati huo huo kinapenya kila kona ya nchi ambako hakijawahi kufika?.

MBILI: Tangu mwaka 2010 mpaka leo, inaonyesha chadema kimezidi kupendwa na wananchi na zaidi sana tangu kuunda UKAWA watanzania wameongeza kupendana zaidi na wanaiona CCM kama shetani. Kwa hali iliyopo sasa watanzania wanakula CCM wanalala CHADEMA/CU/NCCR-Mageuzi. Tutarajie nini hapo October 2015.
 
Chadema haitakufa asilani, kauli za Chadema kufa ni sawa na ile laana ya Kuku kwa Mwewe...
 
...utafiti niliofanya ni kuwa ccm inaonekana kama chama cha wezi tu na watu hawaoni fahari tena kujiita ni ccm

jenga hoja ueleweke..
Una wafaham wenye pesa uswizzz,chadema yako ni safi sio??ijue historia alafu jinadi vizuriz..
Dream while your a wake.
 
ni kweli mahesabu yao yalikuwa kwa huyu mbulula zitto, sasa kauli zao zinawasuta kweli...unakumbuka hata wassira alishasema cdm itakufa kabla 2014....akatumia kauli hiyo akachaguliwa na ccm kwa kishindo lakini sasa hebu mwambie arudie tena kauli yake hiyo....
Kumbuka chadema ni mpango wa mungu.

haha haha..
Ni kitabu gani kitatifu kimeyoa mwongozo wa kufuata chama flani?
Wala usimsingizie mungu!!!
Huo ni mpango wa baba mkwe.
 
Ndugu wanaJF,
Tumeshuhudia utabiri mwingi dhidi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), kuwa chama hiki kinakufa kwa kasi ya ajabu. Binafsi nimegundua jambo la ajabu sana kupitia kifo cha chama hiki. Kwa kadili kinavozidi kusemwa kuwa kinakufa ndivo kinavozidi kuitesa CCM. Sasa napata maswali mawili makubwa,

MOJA: Chadema kwa mwaka jana na mwaka huu, kimeonyesha kuwa kimeenea kila kona ya Tanzania. Kwamjibu wa wa wanaCCM (Nape) ni kwamba chadema kinakufa kwa kasi kila kona ya nchi?. je, nini maana ya chama cha siasa kufa kila kona ya nchi wakati huo huo kinapenya kila kona ya nchi ambako hakijawahi kufika?.

MBILI: Tangu mwaka 2010 mpaka leo, inaonyesha chadema kimezidi kupendwa na wananchi na zaidi sana tangu kuunda UKAWA watanzania wameongeza kupendana zaidi na wanaiona CCM kama shetani. Kwa hali iliyopo sasa watanzania wanakula CCM wanalala CHADEMA/CU/NCCR-Mageuzi. Tutarajie nini hapo October 2015.
CHADEMA Hakifi, ila cha moto kitakiona
 
Kama wauaji wa CHADEMA wameshindwa kuiua through within watawezaje kuimaliza kupitia ACT? Muuaji wa kwanza wiki hii atakimbilia ACT kwa wauaji wenzake kuunganisha nguvu kujaribu karata yao nyingine but sina hakika kama hilo litawezekana. Ukiwauliza wataalamu wa usalama watakwambia insiders are great threats than anything else. Ni rahisi kujikinga na outside threats kuliko insiders, na Chadema wamefanikiwa kupunguza insiders. Kwa maneno mengine, huo utabiri wa kifo cha Chadema inawezekana ukalenga mlango wa pili kwa jirani.

HAkUNA CHA INSIDER WALA OUTSIDER,...VIONGOZ WA JUU WAMEKALIA SUPAGLUU..
MTAZIDI KUWA MAKURUTAA TUU
MTAKUMBUKA BLANKETI KUMEKUCHA.
 
Ccm anahangaika na kifo cha CHADEMA wakati ccm ipo ICU muda wowote inaweza kufa.
 
Unajuwa maana ya kinakufa? au unakurupuka tu? Sasa wewe hukioni kuwa chadema kinakufa?

Ccm ipo kwenye mstari wa kifo mawazo ya kijinga kama ya kwako hutolewa na mtu mjinga kama wewe tunakupuuzia.
 
Mkuu nadhani hii kauli ya Cdm itakufa,inakufa wahusika waasisi wake wanaijutia wanatatamani kuifuta kwa sababu imekuwa kama petrol na moto

R.I.P chama cha mafisi ccm
 
ccm ipo kwenye mstari wa kifo mawazo ya kijinga kama ya kwako hutolewa na mtu mjinga kama wewe tunakupuuzia.

rudi shuleni..bado hisia zako zinatawala akili..
Mihemko ni janga zaidi ya mafuriko.
 
Kaka nipo Namtumbo muda huu huku hali chadema sio nzuri maaba namtumbo nzima wameshinda mitaa3 mchomolo0 hulia0 kiuma0 kwa style hii Urais unapatikana hapo?
 
Kaka nipo Namtumbo muda huu huku hali chadema sio nzuri maaba namtumbo nzima wameshinda mitaa3 mchomolo0 hulia0 kiuma0 kwa style hii Uraiapatikana hapo?

Umeacha kufanya kazi za ndani kwa nape?
 
Kaka nipo Namtumbo muda huu huku hali chadema sio nzuri maaba namtumbo nzima wameshinda mitaa3 mchomolo0 hulia0 kiuma0 kwa style hii Urais unapatikana hapo?

House girl na siasa wapi na wapi?
 
Siku zote anayekufa hawezi kujua kama anakufa ila daktari ndiyo anajua siri ya mgonjwa kuwa anakufa,

kwahiyo chadema kamwe hawatajua kama wamekufa au la!

Ni kwelo mkuu hata nape anajua jinsi anakufa na CCM yake
 
Ccm ipo kwenye mstari wa kifo mawazo ya kijinga kama ya kwako hutolewa na mtu mjinga kama wewe tunakupuuzia.

Ikiwa "mjinga" ndiyo anaekutawala sasa hivi, wewe ukoje?
 
Back
Top Bottom