WaTanganyika wenzangu.
Ni wakati muhimu sasa tukatambua kwamba, kwa miongo mingi ya utawala wa serikali ya CCM, nchi imekuwa ikiendeshwa kama taasisi ya watu binafsi. Chini ya uongozi na himaya ya CCM na serikali zake, Tanganyika imekuwa ikifisadiwa huku waTanganyika tuki dhulumiwa katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa na kijamii pia.
Mateso kwa waTanganyika yamefikia kiwango cha juu kiasi kwamba wengi wetu tunaona ni afadhali nchi hii ingeendelea kuwa chini ya utawala wa kikoloni.
Nasema "RAIS WA KUJENGA NIDHAMU YA SERIKALI HAWEZI KUTOKA CCM" kwa sababu viongozi waliopo ndani ya CCM, wote ni zao la "SERIKALI ISIYO KUWA NA NIDHAMU".