Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Wadau

Nimetafakari kwa makini sana,Kuna kila dalili kwamba CCM wanatengeneza migogoro ndani ya Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania,Chama hicho ni CHADEMA ambacho kinatakiwa kife kabla ya 2014/2015,Hiyo ni kwa mujibu wa WanaCCM Kama Wassira,

Kwa mtazamo wangu,Hata kama Chadema kitakufa, Wananchi watakiondoa CCM madarakani kwa namna yoyote kwa kuwa Chama hiki kimeshindwa kabisa kulisaidia Taifa hili,Kwa mfano mdogo tu,CCM imeamua kwa makusudi kuua elimu yetu kwa kuanzisha division five;

CCM inaondoka.

Wala CCM haihusiki na matatizo ya CHADEMA,Matatizo ya CHADEMA yanasababishwa Viongozi wa CHADEMA wasiopenda demokrasia ndani ya Chama.Yule Mwigamba anayeitwa kirusi tuhuma zake zilikuwa na ukweli mtupu kwani hata akina Mnyika walipojaribu kuyatolea majibu walijikuta kila mmoja akiongea lake,Mnyika akikubali kiaina na Dr Slaa akikataa na hivyo wakijikuta wakijivua nguo zaidi so tuhuma zote za Mwigamba zilikuwa za kweli kwamba Uongozi wa sasa umejaa uozo mtupu.
 
Kwa nini msimkabidhi nchi mchungaji Mtikila 2015...??? maana anajiamini, ameokoka, hana unafiki, anaifahamu vizuri historia ya nchi hii na ana uzalendo na nchi hii.
 
Cc: Nape Nnauye , KINAna jangili , Ritz Simiyu Yetu and all LB7 project
988346_353943881409285_817670396_n.jpg

Taifa la kesho wakihudhuria mkutano wa mwanasiasa a.k.a mwana-helkopta.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JGG, kwanza naomba nikupongeze kwa kukubali kuwa mkweli, watu wakweli humu jf, wanaokubali ukweli halisi jinsi ulivyo ni wachache, na wewe uu mmoja wao!. Wengi wa member humu, wanaukubali ule ukweli wao tuu, sometimes sio ukweli halisi!.

Naimba kukurekebisha na kukusaidia kidogo ila pia kukuongezea kidogo na ukweli mchungu!.

  1. Sio kweli kuwa CCM, inahihitaji mbadala!, CCM inatamani kutawala milele, kama hapatokea mbadala, CCM itaendelea kutawala, na kutawala na kutawala!, kwa wale waliotangulia mbele ya haki, na wale watakaotangulia mpaka 2015, kwao CCM imetawala milele yao yote mpaka mwisho wa maisha yao!, na kwa 2015 itaendelea kutawala milele ya wengine wengi!.
  2. Ili CCM iondoke, lazima kwanza apatikane mbadala na sio lazima Chadema!, ila mpaka hapa tulipofikia, Chadema ndicho chama pekee kimeonyesha dalili ya angalau angalau, lakini tatizo lao ndiolo hilo hili nililowaambia "Hawajajipanga!' japo walikuja juu, facts are facts hazina mjadala, ni ama wajipange, ama 2015 ni CCM tena!.
  3. Hili za ZZK kuonewa Chadema naomba let me reserve my comments, si umeona juzi baada ya yule "chalii wa kijiweni" kututapikia humu ule utumbo,humu sebuleni, kale "ka kinda ka juzi" nacho kakasupport kuongeza matapishi!, na uha.. kujazia!, una sasa sebule nzima imechafuka!, jee umeona mpaka leo wenye nyumba wamefanya nini?, nilitegemea wakekuja mbia kusafisha matapishi yale!, lakini kila siku wanapita tuu hapo sebuleni kwa kutafuta pa kukanyaga ili wasijichafue na matapishi hayo lakini sio kutasafisha!. Kama matapishi yale yangekuwa ni wa "wapendwa wao" hata kabla wenye nyumba hawajafika, ungeshuhudia "madekio yao humu" jinsi wanakimbizana kugombea kusafisha uchavu ule, na wengine ambao hawana mop, wangekuwa tayari hata kuyafuta kwa ulimi, na hata kama hakuna mahali karibu pa kutupa, wangeamua hata kuyameza matapishi hayo kuliko sebule kuchafuka!. (Hapa ndio nime reserve my comments!, ningeamua kusema!, patakuwa hapatoshi hapa!).
Pasco.

Hizo highlighted mkuu
1. nimesemea hoja zako kwa maana kwamba unaona na kukubali kuwa ccm ina matatizo hivyo inahitaji mbadala
2. kweli ccm na genge lake wangependa kuwa ktk system forever kwa maana ya wao sasa na watoto wao baadaye ila kwa duniani na historia za vyama haiwezi kuwa milele isipokuwa labda iwe km kanu ya kenya ambayo iko madarakani kwa form nyingine, so nakubaliana na wewe kuwa kwa sasa chadema ndiyo mbadala lakin kuna matatizo ya organization
3. tabia za binadamu ziko nyingi na kila moja ina umuhimu wake, kwa mbunge msingi ni hoja bila kujali ametoka kijiweni au hata tukienda mbali amepigiwa kura na watu gani kwa maana ya socio-economic status zao. zito na wengine wanaihujuma chadema hadharani na bado ni wanachama nikasema ni kwa sababu hoja yako kuwa chadema hawajajipanga ina ukweli na katika hilo usimpe exception zito maana na yeye ni moja wa viongozi wakuu wa chama, labda hatujaelewana, ni kuwa zito anaihujuma chama au chama kwa kupitia mbowe na slaa wanamhujumu zito?
 
1. Kawaida kwa Wabunge wake huwa wanapinga mambo yenye maslahi kwa Taifa mfano mzuri ni lile la muswada wa mabadiliko ya Katiba, tozo ya line za simu na mengine mengi mpakaa wabanwee sana ndo wanageuka na kuunga hoja mia kwa mia


2. Wabunge wao walio wengi akishachaguliwa na wananchi kurudi jimboni ni mgogoro kwa mwaka anaweza akaenda jimboni mara moja au asiende kabisa


3. Katika uchaguzi mkuu 2010 zilitolewa ahadi nyingi zikiwemo zile za ununuzi wa meli ziwa victoria, tanganyika, nyasa, treni ya mwendo kasi Dar Kigoma na zingine kadha wa kadha , hayo yote hayaonekani

4. Maisha bora kwa kila Mtanzania walihaidiwa wananchi , ni kama vile hayapo kwa hali ilivyo sasa

5. Madini yanachimbwa na kunufaisha wageni wakati watoto wa shule wanakaa 200 ndani ya chumba kimoja cha darasa, wengine wanakaa chini, na walimu hawalipwi vizuri na wengine wanadai madai yao miaka nenda rudi wala hakuna anayewasikiliza
6. Serikali ya CCM inasema ajira kwa vijana lakini ukweli mpaka sasa vijana wanaomaliza vyuo wapo wamejaa mtaani wala hakuna ajira

Hayo ni machache tu CCM na serikali yake ni ya Kilaghai
 
Ulikosa mada yakuleta! Kodi ya cm imehamia ktk magari ama wewe huna gari, hebu kalipie lesen yagari TRA uone. Sijui ulikuwa na maana gani. Wabunge walisema posho ni ndogo iongezwe. SAWAAAA!!!!? :
 
Co maccm tu WAZALENDO, wacotaka ujinga, bunge la wabunge la mwafrika baa ndilo lenyefikra hizo, wajumbe wake ni wale wanakula kwa shkamoo kulala jirani na ba na ma. Ndio asli ya kutoijua Inchi hii, imeanzia wapi, hao walojaa kula pesa ktk tenda za UMMA halimashauri za miji na majiji kna nan? Jibu hapo. Duka vifaa vya ujenzi, gareji za magari kampuni za ujenzi ktk HALIMASHAURI, ni nani huku kwetu hakuna hata mgoni ni huko kaskazn tu kila kitu wao, halafu wanajisahau. Hebu vyama vyote viunde tume ya pamoja vifanye uchunguzi kama mali yote ya UMMA haitakutwa kwenu.
 
Umekurupuka siasa Uhuru ni wa chama gani kama co KANU. MASAWE, KIMARO, MUSHI NI WA ENZI NA ENZI NA WATAENDELEA KUWEPO NA KANU IPO HAITAKUFA. CDM MLIKUJA KENYA KUSAIDIA LAKINI HAMKUFUA DAFU. Huko kwenu mtadanganya hao wavivu wasiopenda kufanya kazi nakuwafanya kuiba tu. NI KENYA KWANZA Siasa baadaye. Mtu wa siasa ni mwongo sana. Mtz angalia cv ya mtu anayetaka siasa co kutazama chama, kuna maharamia wengi ktk vyama wengine unawezakuta mtu hatari sana anajificha kwa siasa
 
Heri uugue malaria utatibiwa na kupona kuliko kuibiwa na kudhurumiwa na watu wanaojinadi kuwa wanakupenda. Heri uugue ukimwi na ukafahamu maana utatumia dawa za kuimarisha CD4 na ukaendelea kuishi kuliko kuwa unaambikwa mijikesi ya jinai na ugaidi ili kukutisha usiipinge ccm. Anayeshabikia ccm huyo huyo nae ni hatari kuliko maradhi yanayoweza kutupeleka hospitali...


Tuwasubiri hapa waje wabaya wetu, hao hao ninaowasema ni hatari, YAANI HAO CCM...
 
Heri uugue malaria utatibiwa na kupona kuliko kuibiwa na kudhurumiwa na watu wanaojinadi kuwa wanakupenda. Heri uugue ukimwi na ukafahamu maana utatumia dawa za kuimarisha CD4 na ukaendelea kuishi kuliko kuwa unaambikwa mijikesi ya jinai na ugaidi ili kukutisha usiipinge ccm. Anayeshabikia ccm huyo huyo nae ni hatari kuliko maradhi yanayoweza kutupeleka hospitali...


Tuwasubiri hapa waje wabaya wetu, hao hao ninaowasema ni hatari, YAANI HAO CCM...
Huoni aibu.
 
Back
Top Bottom