Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Serikali ya ccm ikiongozwa na jk ni sawa na nondo mla watu kwa watanzania. Inakuwaje wananchi wa kawaida tunalipa kodi,wazee wanalipa kodi,mwalimu ktk mshahara wake analipa elfu 50( kwa anayeanza kazi) lakini raisi halipi kodi inamana yeye sio mtanzania??? Maswahiba wake ambao ni wafanya biashara wakubwa hawalipi kodi. Licha ya hilo serikali hii inaongoza kwa misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa nje mfano buzwagi na baricki............. Kama hiyo haitoshi wameona ni bora makampuni makubwa kutoka nje wasamehewe kulipa kodi ili kodi hiyo ilipwe na watanzania wa hali duni kupitia kodi ya sim za mkononi. ........... Ni sawa na nondo mla watuu
 
Mkuu ujumbe umefika lakini siyo nondo mla watu ila "nunda mla watu"
 
Serikali ya ccm ikiongozwa na jk ni sawa na nondo mla watu kwa watanzania. Inakuwaje wananchi wa kawaida tunalipa kodi,wazee wanalipa kodi,mwalimu ktk mshahara wake analipa elfu 50( kwa anayeanza kazi) lakini raisi halipi kodi inamana yeye sio mtanzania??? Maswahiba wake ambao ni wafanya biashara wakubwa hawalipi kodi. Licha ya hilo serikali hii inaongoza kwa misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa nje mfano buzwagi na baricki............. Kama hiyo haitoshi wameona ni bora makampuni makubwa kutoka nje wasamehewe kulipa kodi ili kodi hiyo ilipwe na watanzania wa hali duni kupitia kodi ya sim za mkononi. ........... Ni sawa na nondo mla watuu
Kwenye nyumba yako mwenyewe unayoishi - je utalipa kodi?
 
Kama ccm hawatachukua hatua za haya,ni dhahiri kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2015 wana wakati mgumu sana.Mambo yafuatayo yatawaondoa madarakani
1.Maisha magumu kwa watanzania.
2:Utoroshaji na wizi wa pesa kwenda kuficha ng'ambo
3:Wauza unga(madawa ya kulevya)
4:Tuhuma kwa viongozi wa chama na serikali kwa mfano tuhuma za ujangili kwa katibu Mkuu ccm ndg Kinana au sakata la Jairo.
5:ufisadi kama vile EPA,Richmond,Meremeta,Kagoda nk.
6:Mauaji ya raia wasio na hatia kwa mfano kifo cha mwangosi
7:Utesaji na ung'oaji watu kucha.Kwa mfano mateso kwa Kibanda,Ulimboka na Shekh Ponda.
CCM,ukimya wenu huu wa kutokuzungumza chochote juu ya masuala haya ni kete ya wapinzani kuwamaliza.Kumbukeni watu walioteswa,waliopigwa risasi,waliouawa wanandugu,wanajamaa na wanamarafiki zao pia.Je,ndugu/jamaa na/au marafiki wa hawa watu,wanajisikiaje juu ya haya mateso? Mi naona waendelee tu kukaa kimya bila kuchukua hatua zozote za kisheria ili wapinzani watumie nafasi hiyo kudhoofisha CCM katika uchaguzi mkuu ujao.
Wameiba raslimali za nchi tumechoka,maisha bado magumu,wananchi wamekata tamaa,tatizo la ajira na matatizo mengine lukuki.NAWASILISHA
 
Kwa yote haya afadhari waungane na Mzee Chiburunje kuliko kusubili kupata aibu ya karne 2015.CCM kifo chake kimetimia.
 
ccm hawana wasiwasi na hayo uliyoyaandika hapo juu,wana mbinu kibao za kuwarejesha madarakani tena kwa kishindo:

twendeni vijijini kuleeeee kwa kina kamanda mawazo kwa wale wasiojua kusoma na kuandika vinginevyo tutaambulia kuingiza wabunge wengi na kususia matokeo
 
Watanzania, kila kukicha tunasikia ovu jipya litendwalo na viongozi wa ccm.

Taifa letu linateketea kwa ulaghai unaotendwa na ccm.

Inasikitisha kuona viongozi maarufu hapa nchini wanaongoza kuuza rasilimali zetu kama vile Tembo, pembe za ndovu. Huu ni wizi na hawatutakii mema.

Mbaya zaidi viongozi maarufu wanawatumia wanamuziki maarufu kama bongo flavors kusafirisha madawa ya kulevya maarufu kama sembe. Ni wauaji hawa.

Kila mmoja anahakikisha anaisafisha nchi ili ifikapo 2015 kila mmoja aingie shimoni kujificha. Tutawasaka na mmojammoja atashugulikiwa.

Mbaya zaidi hawa walaghai wamehamua kuvamia vyanza vyetu vya maji na kujenga mihoteli yao huko. Salamu kwa waziri wa mali asili. Mlima uluguru leo hii si chanzo cha maji tena,ni kilele cha hotel ya mlaghai.

Yapo na mengine meengi ambayo haya maccm yanatenda ili kushibisha matumbo yao. Ewe mpenda maendeleo karibu tuendelee...
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo ndani ya ccm kuna mgawanyiko wa kutosha na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda., Hii ni moja ya dalili kuwa CCM itasambaratika mapema kuliko wengi tulivyofikiri.

Sababu kuu ya kusema haya ni hili suala la mahesabu na uchaguzi ndani ya CCM

Tayari tunajua kuwa CCM wameingia kambini kuchakachua mahesabu ili wayawakilishe kwenye kamati ya bunge ya mahesabu huku yule aliyewaitisha mahesabu haya akiwa tayari ana data zote za haya mahesabu hivyo hata wakichakachua vipi wataishia kuumbuka tu.

Suala la uchaguzi litaibuka upya soon kwani vijana tayari wameishaanza kuwashitukia viongozi waliopo kuwa ni matapeli.

Nawashauri makamanda wasikubali kufanywa misukule na kudanganywa kitoto bali wasimame na kudai uchaguzi ili wachague viongozi wanaowataka.
Ccm imesababisha nchi kutengwa na jumuia ya Afrika Mashariki kwa akili ya upuuzo wao. Mafias wa jumuia ya Afrika Mashariki waligundua lengo la ccm ni kuisambarstisha jumuia ya Afrika Mashariki hivyo wakoona waachane na ccm mpaka hapo itakapotoka madarakani na kuangia Chadema ndipo waungane na Chadema katika kusukuma gurudumu.
......

JITAMBUE
 
Imefahamika rasmi chama cha mapinduzi kinatarajia mgawanyiko ambao haukuwahi kutokea katika historia ya chama hicho.

Sababu kuu inaelezwa kuwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa nwaka 2014.

Taarifa zilizopatikana kwa mmoja wa viongozi wa nec taifa zinasema.

Kwa sasa kuna makundi makuu matatu katika chama hali ambayo ni ngumu kuweza kupata suluhu katika uchaguzi.

kundi linaloonekana kuwa na nguvu ni lile linaloongozwa na waziri mstaafu, huku naibu waziri wa mawasiliano akiwa wa tatu nyuma ya waziri wa mambo ya nje.
hali hii inatisha sana uhai wa chama, kwani chama cha upinzani Chadema kinapata Adivanteg kubwaaa! sana

@cc Nape
 
Urais si anagombea TASWIRA MWIGULU LAMEK MADELU?
ccm kwa viroja wameshindikana.
 
Wanyongane hata watoane korodani hawatuhusu hawa majangili na wezi wa rasilimali za taifa...
 
Imefahamika rasmi chama cha mapinduzi kinatarajia mgawanyiko ambao haukuwahi kutokea katika historia ya chama hicho.

Sababu kuu inaelezwa kuwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa nwaka 2014.

Taarifa zilizopatikana kwa mmoja wa viongozi wa nec taifa zinasema.

Kwa sasa kuna makundi makuu matatu katika chama hali ambayo ni ngumu kuweza kupata suluhu katika uchaguzi.

kundi linaloonekana kuwa na nguvu ni lile linaloongozwa na waziri mstaafu, huku naibu waziri wa mawasiliano akiwa wa tatu nyuma ya waziri wa mambo ya nje.
hali hii inatisha sana uhai wa chama, kwani chama cha upinzani Chadema kinapata Adivanteg kubwaaa! sana

@cc Nape

watuambie wanataka urais wa Tanganyika, wa Muungano au urais upi???
 
Wamevuruga na kuwanyima watanzania elimu ili wawatawale watakavyo sasa wengi wetu hatujui tofauti ya propaganda na siasa ya ukweli.

Ukiondoa siasa za uongo,propaganda,mabavu,vitisho,masihara kwenye maisha ya watu,maneno matamu yasiyo na utekelezaji, hapo hakuna ccm.

Hawa ni wepesi kama karatasi.
 
Ni rahisi mno kumtawala mtu mbumbumbu - sasa CDM imejipa kazi ya kufundisha wananchi elimu ya uraia, huku ni kuichonganisha serikali kwa wananchi wake.
 
Back
Top Bottom