Huoni aibu.
Vipi, mkutano wa mafisi umeisha vipi?
hakuna vitofali vilivyorushwa?
Mla rambi rambi za mjane wa mwangosi shikamoo!Vipi, mkutano wa mafisi umeisha vipi?
hakuna vitofali vilivyorushwa?
Vipi na wewe unapenda ka mchezo kama ka mbunge wako?Mla rambi rambi za mjane wa mwangosi shikamoo!
Vipi na wewe unapenda ka mchezo kama ka mbunge wako?
Salam wanajamvi!
Katika pitapita zangu huku nikizungumza na wananchi juu ya Operesheni ya Tokomeza ujangili
jimboni kwa waziri Mkuu mizengo Pinda, wananchi wamekubaliana kuwa iwapo mtu ataipigia ccm uchaguzi mkuu ujayo ajiandae kupigwa na wananchi hao.Hii inatokana na hasira ya wananchi kupigwa,kuchomewa nyumba,mifugo yao kupigwa risasi na kukamata watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kuwa wanamilki silaha kwa kile kinachoitwa Operesheni Tokomeza Ujangili! R.I.P CCM.
Wananchi wanasema iwapo ccm watalazimisha ushindi kwa kuiba kura basi machafuko yanaweza kutokea ktk uchaguzi mkuu ujao.
bold: watajuaje kuwa mtu fulani kampigia kura mgombea wa CCM wakati kura ni siri ya mpiga kura?
CCM imechoka na inakera sana. uhamasishaji udumishwe ili watu waamue kwa moyo badala ya kupewa vitisho ktk kufanya uchaguzi.
Familia yako siku hizi wamekuwa wanachi aliyekuroga kafa hivyo hutatajiambua naomba mungu akulinde usife mapema ili uje ushuhudie ushindi wa ccm hicho chama chako cha maruhani jiandae kukizika rasmi.Uwezekano wa ccm kuangukia pua uchaguzi mkuu ujao ni mkubwa sana.Hii inatokana na hasira ya wananchi ya kupewa ahadi hewa,kupigwa,kunyanyaswa,kuteswa,kuchomewa nyumba,kupigiwa risasi mifugo yao na kile kinachoitwa tokomeza ujangili.
Ni wapi,jimboni kwa mtoto wa mkulima(pm).Kutokana na hali nimejaribu kuongea na wazee wenye ushawishi mkubwa kwa jamii wanasema kuna uwezekano wa kukubaliana kutoipigia kura ccm atakayefanya hivyo kukiona.
lini hiyo,uchaguzi mkuu ujao.
CHADEMA tumieni hii chance kuizika ccm kabla haijafa.
Tangu uumwe nadhani hujapata nafuu malizia dozi kwanza pengine akili yako inaweza kurejea kwenye mstali.....maccm ni genge la wahuni flani hivi, kama unabisha anzisha biashara ya dawa za kulevya, ujangili wa kuua tembo kisha peleka hesabu ,unapewa ubunge fasta au hata cheo kikubwa kwenye chama/genge, kwani si mnayaona jamani...
Tangu uumwe nadhani hujapata nafuu malizia dozi kwanza pengine akili yako inaweza kurejea kwenye mstali.