Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Ni mara baada ya mwenyekiti wa ccm taifa kumtaka makamu wake wa bara kulishughulikia suala la rushwa bila woga.Yasemekana mwenyekiti wa taifa amehuzunishwa sana na hali iliyopo ndani ya ccm ya kuidhinisha rushwa kuwa ni sehemu ya maisha ya wanaccm wengi.Makamu mwenyekiti huyo amepewa kazi nzito kwa kuwa alishawahi kutamka mara tu baada ya kuchaguliwa kwamba ndani ya miezi sita angewashughulikia watoa na wapokea rushwa ndani ya chama chake.Yasemekana kuna timu imeundwa kuchunguza katika maeneo mbalimbali ambayo rushwa imenong'onwa,maeneo hayo ni pamoja na UVCCM,VYUO VIKUU,MAKATIBU WA CCM MIKOA NA WILAYA,UWT,WAZAZI,WAFANYA BIASHARA,NYUMBA ZA IBADA NK.Ni kiasi cha kusubiri tuone,endapo na safari hii wakishindwa kuwajibishana,basi nashauri watanzania wote tutumie kauli mbiu"MOTTO" ifuatayo kwenye kampeni za serikali za mitaa "Msemaji atasema CCM!aitikiwe hivi,KISIMA CHA RUSHWAAAAA".Hata hivyo ni wazi kabisa rushwa ni vigumu kuondolwa na mccm
 
ccm itakufa wala siyo maigizo.

Mwenyekiti wao ameshawaambia kwakuwa viongozi wao hawana maarifa ya ziada waliyobaki nayo zaidi ya kutumia polisi na mabomu ya kichina, wajiandae kisaikolojia kuondoka madarakani
 
ccm itakufa wala siyo maigizo.

Mwenyekiti wao ameshawaambia kwakuwa viongozi wao hawana maarifa ya ziada waliyobaki nayo zaidi ya kutumia polisi na mabomu ya kichina, wajiandae kisaikolojia kuondoka madarakani

Mkuu Mungi tunaona maarifa ya mwenyekiti wenu,muasisi na red brigade ya kupiga viongozi wenu kwenye mikutano ya ndani
 
Mkuu Mungi tunaona maarifa ya mwenyekiti wenu,muasisi na red brigade ya kupiga viongozi wenu kwenye mikutano ya ndani

Kutokana na uwezo wenu mdogo wa kufikiri, hata Mungi akirusha ngumi akiwa mbeya na mbowe yupo dar mtasema mbowe alirusha ngumi.
Mkuu kama kweli ulisoma vizuri undani wa habari kwenye magazeti hakuna sehemu iliyoandikwa mbowe kurusha ngumi/kuzipiga kavu na mwigamba zaidi ya heading.
 
Hata vitabu vitakatifu vinatoa onyo ama amri kwa waja wa mwenyezi Mungu kwamba usitamani mali ya jirani yako.

Hivi karibuni kumetokea wanaccm kuzungumza sana ama kwa maneno mengine wanachonga sana juu CHADEMA.

Tabia hii ya CCM ni sawa kabisa na usemi ule wa kawaida usemao Nyani haoni ku...e kwa sababu tukizungumzia CCM kama nyumba ndio inayovuja kutokana au na uchakavu wa bati au vigae na kwamba kuta sasa zimeanza kulowa maji ya mvua na karibia zitadondoka moja baada ya nyingine.

Hebu tujikumbushe baadhi ya kutu zilizo tafuna paa ya CCM.

Mosi je,kwa nini hawa maccm hawazungumzi habari ya ufisadi wa serhkali?

Pili je,kwa nini CCM hawazungumzi lote juu za ujangiri?

Tatu,kwanini hawazungumzii RUSHWA iliyokutu sugu kwenye bati la nyumba CCM?

NNE JE,kwa nini hawaccm hawazungumzii juu ya MADAWA ya kulivya yaliyokutu kali kwa bati la nyumba CCM?

TANO JE,Kwa nini hawa CCM hayazungumzii juu ya usaliti wa wanachama wao kama Nape na Sita waliotaka kuanzisha CCJ?

SITA JE,Kwa nini CCM hawazungumzii wanachama wao wanao pigiana debe la urais kinyume na katiba ya CCM?hapa angalau John Komba atakuwa shahidi.

Saba je,kwa nini CCM yana ufyata kuongelea dukuduku juu ya chama chao na kumalizia dukuduku zao kwa CHADEMA?CHADEMA kimewafanye nyie CCM?

Nane, JE kwa nini hawa CCM hayazungumzii ju ya upatikanaji wa katiba bora nchini?

Tisa, JEkwa hawa CCM hawazungumzii juu ya uchina kukabidhiwa nchi hii kwa mgongo wa urafiki wa kihistori na kwa mafuta ya mkoloni mamboleo?

KUMI,JE kwa nini CCM hawazungumzii juu ya mafisadi kupewa madaraka mapya?Turejee kamati ya bunge ya bajeti.

CCM acheni kutumia muda vibaya kwa kuiota CHADEMA,chama ambacho hakipo madarakani kinawatoa roho? Kwa nini hamzungumzi vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA?Mmekomaa na CHADEMA TU?

Hii ni fedheha kwenu kwa maana chadema mumekipatia promo vya kutosha,Mnatumia kumchonganisha Mwigamba na Zito eti ni mamluki,mbinu hizi mlizitumia miaka ile,kamwe hazitafua dafu kwa chama mithiri ya mti wa MPINGO"CHADEMA".

MWIGAMBA NA ZITO NI MAKAMANDA WA CHADEMA,YALIYOTEKEA KWENYE NYUMBA YETU YA CHADEMA NI TOBO KWENYE BATI,HIVO TUNATOA BATI LILITOBOKA NA KUWEKA JIPYA NA KATU HATUWEZI kusubiri kuu kumea kwenye paa la nyumba yetu CHADEMA.YOTE HAYA YATA IMARISHA CHADEMA KWA KUWA NI CHAMA CHA WAJANJA.

Kelele za mbwa hazimnyimi mwenye nyumba kulala usingizi,na Nyegere haachi kelele hata akishiba.
 
hakuna yeyote kutoka ofisi ndogo mwenye uwezo wa kujibu swali lako .
 
Ni mapambano makubwa baina Chadema Kanda ya Ziwa VS Chadema Moshi-Arusha.
 
hakuna yeyote kutoka ofisi ndogo mwenye uwezo wa kujibu swali lako .

Hawa maccm wamezoea sana kuizungumzia Chadema mpaka jf inaonekana ni ya Chadema tu,sasa nataka waje humu watujibu maswali ya kwenye thread hii
 
Dhambi kubwa inayofanywa na CHADEMA ni kule kuaminikwamba Viongozi wake kukosolewa ni njama za CCM, hiki ndicho kitakchokuwa chanzo cha CHADEMA kufa.
 
Hawa maccm wamezoea sana kuizungumzia Chadema mpaka jf inaonekana ni ya Chadema tu,sasa nataka waje humu watujibu maswali ya kwenye thread hii

Mimi siyo CCM, lakini sioni lolote la kujibiwa na CCM, mnawaponza viongozi wenu pale mnawapowaaminisha kuwa kuhoji utendaji wao mbovu ni njama za CCM.
 
Ni mapambano makubwa baina Chadema Kanda ya Ziwa VS Chadema Moshi-Arusha.

North zone team: FREEMA MBOWE, WILBROAD SLAA, LEMA, MNYIKA
Lake zone team: JOHN SHIBUDA, SAMSON MWIGAMBA, ZITTO KABWE, JOHN HECHE.
 
hakuna yeyote kutoka ofisi ndogo mwenye uwezo wa kujibu swali lako .

swali gani, yako mengi tena ya siku zote ambayo yameanza kuwarudi wenyewe, uchakachuaji wa Katiba, Ufisadi wa MBOWE na SLAA n.k.
 
Hawa maccm wamezoea sana kuizungumzia Chadema mpaka jf inaonekana ni ya Chadema tu,sasa nataka waje humu watujibu maswali ya kwenye thread hii

Haya pamabana na jidodo, CCM damu kama utamuweza kwa jinsi ulivyomweupe.
 
hata vitabu vitakatifu vinatoa onyo ama amri kwa waja wa mwenyezi mungu kwamba usitamani mali ya jirani yako.

Hivi karibuni kumetokea wanaccm kuzungumza sana ama kwa maneno mengine wanachonga sana juu chadema.

Tabia hii ya ccm ni sawa kabisa na usemi ule wa kawaida usemao nyani haoni ku...e kwa sababu tukizungumzia ccm kama nyumba ndio inayovuja kutokana au na uchakavu wa bati au vigae na kwamba kuta sasa zimeanza kulowa maji ya mvua na karibia zitadondoka moja baada ya nyingine.

Hebu tujikumbushe baadhi ya kutu zilizo tafuna paa ya ccm.

Mosi je,kwa nini hawa maccm hawazungumzi habari ya ufisadi wa serhkali?

Pili je,kwa nini ccm hawazungumzi lote juu za ujangiri?

Tatu,kwanini hawazungumzii rushwa iliyokutu sugu kwenye bati la nyumba ccm?

Nne je,kwa nini hawaccm hawazungumzii juu ya madawa ya kulivya yaliyokutu kali kwa bati la nyumba ccm?

Tano je,kwa nini hawa ccm hayazungumzii juu ya usaliti wa wanachama wao kama nape na sita waliotaka kuanzisha ccj?

Sita je,kwa nini ccm hawazungumzii wanachama wao wanao pigiana debe la urais kinyume na katiba ya ccm?hapa angalau john komba atakuwa shahidi.

Saba je,kwa nini ccm yana ufyata kuongelea dukuduku juu ya chama chao na kumalizia dukuduku zao kwa chadema?chadema kimewafanye nyie ccm?

Nane, je kwa nini hawa ccm hayazungumzii ju ya upatikanaji wa katiba bora nchini?

Tisa, jekwa hawa ccm hawazungumzii juu ya uchina kukabidhiwa nchi hii kwa mgongo wa urafiki wa kihistori na kwa mafuta ya mkoloni mamboleo?

Kumi,je kwa nini ccm hawazungumzii juu ya mafisadi kupewa madaraka mapya?turejee kamati ya bunge ya bajeti.

Ccm acheni kutumia muda vibaya kwa kuiota chadema,chama ambacho hakipo madarakani kinawatoa roho? Kwa nini hamzungumzi vyama vingine vya siasa zaidi ya chadema?mmekomaa na chadema tu?

Hii ni fedheha kwenu kwa maana chadema mumekipatia promo vya kutosha,mnatumia kumchonganisha mwigamba na zito eti ni mamluki,mbinu hizi mlizitumia miaka ile,kamwe hazitafua dafu kwa chama mithiri ya mti wa mpingo"chadema".

Mwigamba na zito ni makamanda wa chadema,yaliyotekea kwenye nyumba yetu ya chadema ni tobo kwenye bati,hivo tunatoa bati lilitoboka na kuweka jipya na katu hatuwezi kusubiri kuu kumea kwenye paa la nyumba yetu chadema.yote haya yata imarisha chadema kwa kuwa ni chama cha wajanja.

Kelele za mbwa hazimnyimi mwenye nyumba kulala usingizi,na nyegere haachi kelele hata akishiba.
ningekuwa mchawi hakya mungu ningeiloga ccm
 
Haya pamabana na jidodo, CCM damu kama utamuweza kwa jinsi ulivyomweupe.

Kwanza mimi ni mweusi si mweusi,hapa sipo kupambana na yeyote,bali nataka niwaoneshe maccm kwamba Wao ni watoto walio achwa wakue kwa kudokoa dokoa ndiyo maana kwao ufisadi ewalaaaa,rushwa ewalaaaa,ujangiri ewalaaaa,madawa ya kulevya ewalaaaaa,kutopeana adhabu ewalaaaa,kubeba matajiri ewalaaaa,mnyonge hana sauti ewalaaa nk.KUIBEBA CCM INATAKA UWE NA NGUVU ZA BOROYONG
 
jamani wala si hitaji kusoma mambo yote, bali nasema ccm sasa mmechoka sijui mmelewa madaraka, na kwa sababu mkiiba hakuna kusemana kwa kweli wananchi tumewachoka kumbukeni cc tulioko mjini huku tuna ndg zetu vijijini, na kwa sababu cc ndiyo bread winner wao tukisema tu wanatusikia na wanatuamini, kumbukeni mwanzoni ilikuwa vigumu sana kusikia upinzani vijijini lakini sasa hivi kwa taarifa yenu wanajua kuzidi hata baadhi ya watu wa mijini. maana waanateseka sana wakijiuliza wanakuta kumbe ni uongozi, sasa nasema subirini mtaona c muda mrefu
 
Mimi siyo CCM, lakini sioni lolote la kujibiwa na CCM, mnawaponza viongozi wenu pale mnawapowaaminisha kuwa kuhoji utendaji wao mbovu ni njama za CCM.

Umeona maswali hayajibiki unajifanya wewe siyo ccm. Kiherehere cha nini sasa? Au ni umalaya wa mdomo? Siku zote post zako unaandikiwa? Jaribu ku- recall all what you posted for the past, at least a month or so. Read and ask yourself, then uje useme ni ccm ama la!!!! Wakati mwingine si busara kuitumia akili yako vibaya kwenye jamii halafu unajibaraguza kama mtoto. Kwani nani anahitaji kukujua? Kwa faida gani wakati through your posts unatafsirika?
 
Kinachowaunganisha wanaCCM sasa hivi ni kwa chama chao kushika dola! Nje ya hapo hakuna CCM!

Pindi CCM itakapoondolewa kushika hatamu za dola ya nchi hii tutashuhudia yafuatayo:
  1. Kusambaratika na kufutika kwa CCM katika siasa nchini;
  2. kuanzishwa utitiri wa vyama vya siasa vitakavyomilikiwa na viongozi wa CCM waliopo hivi sasa;
  3. Kufichuka, kudhalilishwa na kufikishwa katika mikono ya sheria kwa vigogo majangili na mafisadi;
  4. Kutoroka kwa vigogo majangili na mafisadi kwenda nje ya nchi kukwepa mkono wa sheria; na
  5. kutoweka kwa amani nchini kutakakosababishwa na kishindo cha CCM kufa!
Kwa kuzingatia mukhutadha hapo juu, je Watanzania tuitose au tuendelee kuipa ridhaa CCM kushika dola?!

Tafakari!
 
Ccm hawatapata ridhaa tena,kitakachowaua ni kupangisha ofisi za uswazi baada ya cdm kurejesha kwa umma majengo wanayomiliki.Wapo hoi kisiasa na majangili wao.
 
amani iliyopo inatokana na ama uwoga au uvumilivu au ujinga wa watanzania na wala sio CCM.

CCM ilishakufa kitambo tunachokiongelea ni mipango ya mazishi.

Kuna hadithi ya kikongwe mmoja kule bagamoyo aliyekuwa akishutumiwa kwa uchawi na kuchukua watoto msukule.siku ya kifo chake vijana walichimba kaburi refu mpaka wakaona udongo unaoashiria kukutana na maji..baada ya shekhe kumaliza dua vijana hawakusubiri ndugu washuke kaburini kuupokea mwili wa kikongwe huyo na badala yake waliusukuma mwili huo kwenye hilo kaburi reefu na baadae kusukumia bonge la jiwe.hakika vijana walidhamiria kwa vyovyote vile mwili wa bibi huyu usikanyage tena kwenye ardhi yao ya kistaarabu.Jamii ya wazee ikiwatenga vijana hawa lakini wao walibaki na furaha na amani mioyoni mwao.

Naifananisha CCM na kigagula hiki cha bagamoyo kwani vijana wamedhamiria kuizika na kuhakikisha haitorudi kwenye ulingo wa siasa hapo 2015.
 
Back
Top Bottom