Jamaa mmoja alianza tabia ya kumwingilia mkewe kinyume na maumbile,tabia hii iliendelea na mke akakosa uvumilivu.
Baada ya kukosa uvumilivu ilibidi awaeleze wazee wa hekima ili kumhoji mumewe kuhusu hako katabia alikokaanzisha.
Mahojiano yakawa kama ifuatavyo:
WAZEE:Hivi baba kwa nini umeanza kamtindo kabaya ka ku......la mkeo?
mume:samahani wazee hayo ni masharti niliyopewa na daktar wangu.
wazee:haya baba masharit gani hayo uliyopewa mwenzetu?
mume:mimi naumwa kisukari na mke wangu anajua hili,katika masharit niliyopewa nimeambiwa na dr wangu kuwa nisijsaribu kabisa kula vitu vitamu.hivyo ndiyo maana hata mke wangu nimemkataza asinipe vitamu badala yake natumia vichungu tuu ndiyo maana nafanya hivyo ili kulinda masharit ya dr