Mke wangu aliniomba tufanye party ya kuzaliwa ya mwanetu! Nilikua na mawazo kama yako!
That day i saw my son behaving like a gentleman! He is just two!
Alikua na watoto wenzake, wakila , kunywa na kufurahi pamoja! Sikuwahi kumuona mwanangu akijiamini na kushiriki na wenzake with pride kama siku hiyo!
Toka siku hiyo, anao marafiki wa kucheza nao, anapenda mpira wa miguu, anaenda nao shule na yuko very independent.
From that day najua kuwa hivi vitu ni muhimu sana!
Na hiyo ndio experience yangu juu ya birthday party!
Hayo mawazo yako na chuki chuki kafie nazo mbali mkuu