Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Kuna kademu nilikuwa nacho kitambo tu cha kishua sasa kila Mara kakawa kananiuliza siku yangu ya kuzaliwa.....ilipofika siku akajifanya kunifanyia surprise ya party ...nikamweleza sitoweza kuhudhuria hiyo party kwavile sio lifestyle yangu maana naweza nikaenda nikawa kama picha nisifurahie chochote, alisoneneka sana......Ahahahahah mwaka uliofuata alinikumbusha siku yangu ya kuzaliwa nikakuta kanipikia mapochopocho tukala kisha tukajipumzisha pamoja kwa bed NA kumshukuru kwa kunielewa......Ni hivyo Tu.
 
Mwanaume mzima halafu unatumia neno "KUCHAMBA" na bado unajiweka kundi la wanaume!?.....

Really? Serious?....

Congratulations Son.
AKILI ZA MAPIMBI ZINAONEKANA TU nilikuona toka mwanzo ni pimbi unaabudu birthday ili hali umezaliwa huzijui acha kuabudu na kuishi kwa kuiga kila kitu UKIMUONA OBAMA KALIWA NAWE UTALIWA
//
















/////// WAFUPI WA MAWAZO WOTE MNAOFANYA BIRTHDAY wengine vikongwe miaka 90 yote hayo ya nini kasaidie maskini kama pesa zinakuwasha WAJINGA WAKUU NYIE

SHEREHE ZA KUJINGA TUPA KULE FANYA VITU VYA MSINGI
 
Aiiiiiiii hebu acha tuwasuprise waume zetu asee wakate keki tuongeze upendo

Umeambiwa upendo unaongezwa kwa suprize za kijinga kama hizo eti keki??? Ukimsuprize mumeo umenunua heka tatu mkuranga na ukaandika jina la familia hutakuwa umeongeza upendo kuliko ujinga wa keki

unaponda raha mjini home shida tu au umejibana chumba cha kupanga FURAHA IKO WAPI TUACHE KUENDEKEZA UJINGA
 
Mke wangu aliniomba tufanye party ya kuzaliwa ya mwanetu! Nilikua na mawazo kama yako!

That day i saw my son behaving like a gentleman! He is just two!
Alikua na watoto wenzake, wakila , kunywa na kufurahi pamoja! Sikuwahi kumuona mwanangu akijiamini na kushiriki na wenzake with pride kama siku hiyo!
Toka siku hiyo, anao marafiki wa kucheza nao, anapenda mpira wa miguu, anaenda nao shule na yuko very independent.
From that day najua kuwa hivi vitu ni muhimu sana!
Na hiyo ndio experience yangu juu ya birthday party!
Hayo mawazo yako na chuki chuki kafie nazo mbali mkuu


SIDHANI KAMA NI CHUKI HIYO UNAELEZWA mjinga kama wewe unaeona furaha ya mtoto mpaka acheze na wenzie

kuna mengi zaidi ya hapo mtoe out na wenzie kadhaa zipo mpaka za kishule ukiona hiyo sio MBIDISHE KWENYE MASOMO AU KITU CHOCHOTE AKIFANIKIWA MPONGEZE JAPO KWA KUALIKA WENZIE WACHACHE

UKIMFANYIA BD MTOTO NDO MNAOWATESA PINDI MKITANGULIA MBELE mtoto analelewa kishombeshombe
una mkataba wa kuishi na Mungu mlee katika misingi ambayo hatasumbua wengine

NYINYI MLIOKULIA BABA NA MAMA WANAWALETEA KILA KITU MNA TABU KWELI KATIKA MAISHA
 
Wakati uliopita hata muheshimiwa Rais alikuwa anafanya na wasanii wanatia timu ikulu wakati huu muheshimiwa aliyepo amesema dawa yao anayo wakaa bar wenye glass zao na viti vyao bar hata wafanya birthday wanaume wataacha automatic
 
Mkuu wanaume wa Dar wataona unaongea pumba lakn wat kam ss tunakuunga mkono, n upumbav jitu zma kufanya utoto et kwa kuiga uzungu thaz nonsense....
 
tunatofautiana sana maisha, subiri ukue, uwe na familia.
we unaenda kazini huna hili wala lile umesahau bd yako, unarudi nyumbani kivivu huna hata hela michongo imekataa unakuta wife kaandaa kapati kadogo ka kifamilia na watoto wamechangamka. kama baba unaejali familia yako utafurahi hii.
sio kung'ang'ania tu kwamba hutofanya bd, kumbuka mazingira hayalingani baba.....think out of the box!!!!!!!
 
Mm SIKU ya birthday huwa nakula cana mpaka navimbiwa yaani kimyakimya hata wife hajui kama ni bday na akistuka siku imepita
 
aisee kilicho wakumba wanaume wasasa hakieleweki ni kitu gani. eti dume zima una zima mishumaa ya happy birthday
 
Umeambiwa upendo unaongezwa kwa suprize za kijinga kama hizo eti keki??? Ukimsuprize mumeo umenunua heka tatu mkuranga na ukaandika jina la familia hutakuwa umeongeza upendo kuliko ujinga wa keki

unaponda raha mjini home shida tu au umejibana chumba cha kupanga FURAHA IKO WAPI TUACHE KUENDEKEZA UJINGA
Kafie mbali na idea zako za kigoloko mashamba tushanunua tangu we unavaa kikaptula na kubeba kidumu cha maji waenda shule
 
Nashauri watu wawe wanakwenda makanisani na misikitini kutoa sadaka za shukrani kwenye siku zao za kuzaliwa badala ya kufanya hizo birthday parties za kujifurahisha wao, atoae zawadi ya uhai na afya ni Mungu Mwenyezi
Wengine tunafanya zote hizo.
 
Kafie mbali na idea zako za kigoloko mashamba tushanunua tangu we unavaa kikaptula na kubeba kidumu cha maji waenda shule
hahahah kweli wewe pimbi unamuona mwenzio MO anajiongezea mashamba wewe wawaza birthday zitakusaidia nini WATU KAMA NYINYI HATUWATAKI MNAPENDA SANA STAREHE HUKU WAVIVU MPAKA MAWAZO YENU LAZY TU
 
hahahah kweli wewe pimbi unamuona mwenzio MO anajiongezea mashamba wewe wawaza birthday zitakusaidia nini WATU KAMA NYINYI HATUWATAKI MNAPENDA SANA STAREHE HUKU WAVIVU MPAKA MAWAZO YENU LAZY TU

Nyie watu msiojua maisha ni zaidi ya kua na pesa na miliki nyingi akili zenu zimeganda utumwa wa pesa na uoga wa maisha umewafunga vifungo vikali zaidi ya hukumu ya kunyongwa. Poleni sana.

Mpaka saivi najaribu kuchanganua ni ubaya upi mnao uona wa kusheherekea siku 1/365 kupata zawadi hii adhimu ya kuvuta pumzi!!! Mnaingia uwoga kwasababu mnawaza mtaonekanaje mbele za watu wengine, mnajali sana macho ya watu kuliko kuipa furaha mioyo yenu you're just cowards nothing less
 
Ndo nakuambia hivi mashamba tushamunua tangu wewe uko shule ya msingi, watu wenye vi idea vya hivi mnakuaga na stress sana make starehe hufanyi, hela huna kichwa kimebeba mawazo tu

WEWE ENDELEA KUBWABWAJA TU UMENUNUA MASHAMBA YA MDOMONI WEWE uache starehe ununue shamba wewe akati unawaza birthday kicheni party ndo vimekukaa kichwani jiji zima upo UTAZALISHA LINI?

ACHA VISHEREHE VYA KIJINGA LINI UTAENDA KUWAONA MAYATIMA BONGO LALA WEWE
 
Nyie watu msiojua maisha ni zaidi ya kua na pesa na miliki nyingi akili zenu zimeganda utumwa wa pesa na uoga wa maisha umewafunga vifungo vikali zaidi ya hukumu ya kunyongwa. Poleni sana.

Mpaka saivi najaribu kuchanganua ni ubaya upi mnao uona wa kusheherekea siku 1/365 kupata zawadi hii adhimu ya kuvuta pumzi!!! Mnaingia uwoga kwasababu mnawaza mtaonekanaje mbele za watu wengine, mnajali sana macho ya watu kuliko kuipa furaha mioyo yenu you're just cowards nothing less

TATIZO HUJAELEWA WEWE KIPI KINAONGELEWA HAPA KWANZA MTOTO WA MAMA KALALE WEWE

utashindwaje kusaidia wenye uhitaji kwa kutumia pesa ovyo okay hutaki kusaidia unaishi nyumba ya kupanga sherehe ya nini
MASKINI NDO MNAONGOZA MAMBO YA KIJINGA KAMA WEWE HAPO
 
siwezi kufanya birthday hata mnichangie na mniletee na chura aliyenawiri wa kupindua nae baada ya bday sitakubali kufanya huo utoto
Nakuelewa...una matatizo mawili
1. Wewe ni mgeni kwenye mambo hayo
2. Hauna pesa
 
Back
Top Bottom