Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
Mkuu sasa si ungenambia tu pale pale nilivokualika mambo gani ya kuja huku tena kwahiyo wote sio ngangari basi
 
Ni ustaraabu wa kawaida..... Sema majukumu na ukata ndio vinabana.......
 
TATIZO HUJAELEWA WEWE KIPI KINAONGELEWA HAPA KWANZA MTOTO WA MAMA KALALE WEWE

utashindwaje kusaidia wenye uhitaji kwa kutumia pesa ovyo okay hutaki kusaidia unaishi nyumba ya kupanga sherehe ya nini
MASKINI NDO MNAONGOZA MAMBO YA KIJINGA KAMA WEWE HAPO

Mkuu unaonekana we ni tajiri sana!!

Tena usie na matumizi ya ovyo sasa hiyo hela yako yenye kazi mbili tu ya kusaidia masikini na kujenga nyumba umeshasaidia wangapi na una nyumba ngapi mpaka saivi kwa kutokufanya bday ya siku moja tu kwa mwaka?
 
Back
Top Bottom