Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Wahsikaji wana nafasi na mpenzi au mke ana nafasi tena kubwa zaidi. Kwa misingi hii unapanga siku yake na siku ya washikaji. Hapo ndipo mnapokosea. Muweke mkeo au mpenzi one of your top priorities and utadumu naye sana kwa upendo mkubwa mno.
Masaa yote uko na mke then mtakua mnaongea nini kama sio kufundishwa umbeya huko. Ndio maana wanaume hawaheshimiwi siku hizi na mke kisa uko nae masaa yote. Pata tyme ya kukaa na washikaji wakupe madili na plan za hela wee sio kila siku kukimbilia kurudi nyumbani ukapige umbea na mkeo.
 
siwezi kufanya birthday hata mnichangie na mniletee na chura aliyenawiri wa kupindua nae baada ya bday sitakubali kufanya huo utoto
Ila dizain flan wife anaeza kukufanyia, yan unakutana nayo paaaaah.......... misapraiz tu.
 
Hata mimi hua wananishangaza sana hao watu.....mwanaume unaanzaje sasa
 
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?

Naunga mkono hoja. Watoto wote waliozaliwa kuanzia miaka ya 90 hadi leo hii, watapinga hoja yako. Lakini kwa sie wa zamani kidogo, haya mambo ya birth day ni ya wanawake na watoto wanaosoma katika vyuo kushuka chini.
 
huuuo ujinga sifanyi. nilifanya miaka 7 iliyopita
 
Ngoja kwanzaaa... Ivi ulithubutu kumchana mwenyewe ana kwa ana, au ndio umekosa ujasiri na kukimbilia kubonyeza button?

Utoto unawasumbua. Hayo ni mambo ya wanafunzi wa wanawake. Mwanaume uliyekamilika mwenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea huwezi kufanya mambo ya kijinga na kipuuzi kama hayo.
 
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
Hii ndiyo Tz, na maajabu yake na watu wake, jitu zima kubwa jinga loose of money,time energy eti Happy Birtha Day.............
Nchi hii inamaswahiba mengi sana ikiwemo Wananchi wenyewe ni shida TUPU, ukiachilia yale majanga ambayo yanayo onekana kama ndugu kwetu yaani Ujinga uliopitiliza,Maradhi,Umasikini,Ufisadi n.k....mimi sijui ni kwasababu ya haya maswahiba wenzetu wanakuwa kama wameatirika zaidi au ulimbukeni tu??????
Yaani hadi nina tamani nitembeze viboko kwa malayman kama hawa...
Utasikia mapacha wake wataaza kuja na 7bu za ulemavu wa akili humu JF.
 
Umewachokoza subiri waje

Tunajua watakuja wengi sana. Lakini hatuwezi kushangaa na ukweli lazima usemwe. Vijana wenyewe hawa wa kiume siku hizi wanavaa bikini na suruali kata "K", unategemea nini hasa? kuna wanaume kweli hapo? Ni lazima tu watafanya mambo ya kike kike. Aibu tupu.
 
Ni ngumu sana kufanya kitu alafu kila mwanadamu akubaliane na wewe ila cha kujifunza hapa ni kuna life style za tofuati tofauti na yote hela ndio boss. So maisha mengine watu wanaona hayana umuhimu kwao labda koz ya kipato chao au aina ya maisha magumu au kuto penda tu so kwenye hii thread nadhani tuangalie pande zote
 
Masaa yote uko na mke then mtakua mnaongea nini kama sio kufundishwa umbeya huko. Ndio maana wanaume hawaheshimiwi siku hizi na mke kisa uko nae masaa yote. Pata tyme ya kukaa na washikaji wakupe madili na plan za hela wee sio kila siku kukimbilia kurudi nyumbani ukapige umbea na mkeo.
Hivi mnapiga umbea au mnapanga maendeleo? Sidhani kama kuna muda wa kupiga umbea kati ya mume na mke. Anyway, inategemea na priorities zenu. Cha msingi ukweli kila mtu hata mke anahitaji quality time yake na mashosti zake pia na si kufuatana kama makondoo kila mahali. Kwa misingi hii usisite kumpa mkeo muda wa kukaa na washikaji zape pia.😛😛😛
 
1470400491243.jpg
ebu angalalieni aisee, kweli kabisa mwanamme wa kitanzania unakunama kabisa kwa NGUVU zote, kupuliza mishumaa, afu baadae unaimbaa
Mengine tuwaachiege wafanye wao tu. Si dhani kama mazingira yetu ni rafiki na hizo habari
 
Japo sijawahi kufanya birthday lakini naelewa kwamba dhana yake ni;

1. Siku ya kumshukuru Mungu, Mama na Baba kwa kukuzaa na kuliona jua. Kumbuka watoto wengi sana hawaishi baada ya kuzaliwa kwa sababu mbali mbali.

2. Siku inayoleta ndugu jamaa na familia kuwa karibu kama watapata muda kuhudhuria.

3. Siku ya kufurahia pamoja na familia, mafanikio uliyopata kutokana na malengo yako ya mwaka mmoja uliopita na kumwomba Mungu akutangulie mwaka unaofuata.

4. Wengine hufanya birthday kama utamaduni. Utakuta tangu anakuwa alikuwa akifanyiwa na wazazi wake.

LAKINI PIA HUWA SIELEWI;

1. Mtu anachangisha afanye birthday. Hakika huyu anaiga.

2. Mtu anaalika watu kwenye birthday ilhali hajajiandaa vizuri. Hakika huyu anatafuta sifa ila mwisho wake ni aibu.

3. Mtu anafanya birthday anasahau kumshukuru Mungu na wazazi wake.

LAKINI PIA;

Kufanya birthday ni uhuru wa mtu wala haitanisumbua ndugu, jirani na jamaa akifanya hivyo ilimradi amenialika bila malipo.
 
Hivi mnapiga umbea au mnapanga maendeleo? Sidhani kama kuna muda wa kupiga umbea kati ya mume na mke. Anyway, inategemea na priorities zenu. Cha msingi ukweli kila mtu hata mke anahitaji quality time yake na mashosti zake pia na si kufuatana kama makondoo kila mahali. Kwa misingi hii usisite kumpa mkeo muda wa kukaa na washikaji zape pia.😛😛😛
Sikueleweka vizuri. I mean muda wa kuwa na mke upo na muda wa kuwa na watu wengine upo. Siku hizi mke ameteka akili ya mume sana anataka uwe nae muda wote.
 
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?

Ni wapi palipoandikwa kwamba wanaume mwisho wa kusherehekea siku zao za kuzaliwa ni umri fulani? Ama ni wapi palipoandikwa kuwa watu wa jinsia fulani ndio wanapaswa kusherehekea siku zao za kuzaliwa?

Wakati mwingine kama huna jambo la kuandika basi ni heri ukae kimya kuliko kupoteza muda wako na kuishia kuandika upumbavu.
 
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
Ulitaka afanye kidume mfu?
 
Mm ntasherekea nkifikisha miaka sitini haaaaaapoo wataniimbia tu
 
Back
Top Bottom