Angel Simeon
Member
- Jul 15, 2016
- 32
- 19
Ni style yake ya maisha, cha kukushangaza apo mimi sikuoni.
Keyboard warrior
Usisahau Humu Teenagers pia tupo, JF ni Ya WoteUtoto unawasumbua. Hayo ni mambo ya wanafunzi wa wanawake. Mwanaume uliyekamilika mwenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea huwezi kufanya mambo ya kijinga na kipuuzi kama hayo.
Wamo wenginimemchana sana aisee sasa nimeshtuka kuwa hata umu kuna weza kuwa na watu wa namna hii ya rafiki yangu ndio nimekuja kuwachana
Perception too mkuu!! Sina kawaida ya kusherehekea sku yangu ya kuzaliwa lakin hakuna ubaya!! Sema sio kawaida tatizo ni kwamba yaan kitu kikishaanza kupendwa na wanawake bas mnaona kama cyo kawaida!! Kama nchi inaadhimisha kwa kutimiza miaka 50 !! Sembuse MTU acha ushamba banaAiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!
Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
Uaminifu katika mahusiano umepungua sana na ndiyo kila wakati ni kubanana kama BIG G tu. Yaani ukweli hakuna security kabisa.Sikueleweka vizuri. I mean muda wa kuwa na mke upo na muda wa kuwa na watu wengine upo. Siku hizi mke ameteka akili ya mume sana anataka uwe nae muda wote.
Mwanaume mzima halafu unatumia neno "KUCHAMBA" na bado unajiweka kundi la wanaume!?.....KAMA HUPENDI WANAOFANYA BIRTHDAY SHIRIKI KUTOKOMEZA KAMA TULIVYOTOKOMEZA USHOGA TZ sio kusifia upimbi mkuu
wanauzi lijitu linaishi nyumba ya kupanga linaalika watu kwenye sherehe tena chumba kimoja sio upimbi huo???? juzi mlinzi wetu anadai nilikuwa na birthday ndio maana nimechelewa acha tumchambe upimbi FURAHA YA NINI BADALA YA KUTAFUTA MAISHA
Hiyo laki mbili ni kuku wangapi umenunua
huyu atakua na upungufu wa testosterone kwenye testis zakeMwanaume mzima halafu unatumia neno "KUCHAMBA" na bado unajiweka kundi la wanaume!?.....
Really? Serious?....
Congratulations Son.
Mkuu hakuna maradhi mabaya huku duniani kama poverty and lack of exposure, ndio ugonjwa unaowasumbuwa baadhi ya hashki majinun wa humu JF.huyu atakua na upungufu wa testosterone kwenye testis zake
Mkuu hakuna maradhi mabaya huku duniani kama poverty and lack of exposure, ndio ugonjwa unaowasumbuwa baadhi ya hashki majinun wa humu JF.huyu atakua na upungufu wa testosterone kwenye testis zake
Huyo ajafanya...kafanyiwa.Mkuu hakuna maradhi mabaya huku duniani kama poverty and lack of exposure, ndio ugonjwa unaowasumbuwa baadhi ya hashki majinun wa humu JF.
Anayeamini yeye ni kidume humu JF zaidi ya Tata Madiba Nelson Mandela na asogeze wowowo lake hapa mbele atueleze aliwahi kufanya lipi la maana hapa duniani?
View attachment 376495View attachment 376497View attachment 376498View attachment 376499View attachment 376500
Mwenzio anazungumzia kijana..wewe unazungumzia mtoto!Mke wangu aliniomba tufanye party ya kuzaliwa ya mwanetu! Nilikua na mawazo kama yako!
That day i saw my son behaving like a gentleman! He is just two!
Alikua na watoto wenzake, wakila , kunywa na kufurahi pamoja! Sikuwahi kumuona mwanangu akijiamini na kushiriki na wenzake with pride kama siku hiyo!
Toka siku hiyo, anao marafiki wa kucheza nao, anapenda mpira wa miguu, anaenda nao shule na yuko very independent.
From that day najua kuwa hivi vitu ni muhimu sana!
Na hiyo ndio experience yangu juu ya birthday party!
Hayo mawazo yako na chuki chuki kafie nazo mbali mkuu
Hata huu uandishi wako haufanani na mwanaume!!Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!
Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?