Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
Heeee kama mkeo Au mchumba wako hakufanyiii kaa kimya usiharibie watu nyie ndo vivuruge vya ndoa za watu. Je kama mke kaandaaa mm nafurahi napompongeza we yanakuhusu kualikwa kama hutaki ache.Mnasema mwanaume alelewe apendwe kama mama ampendavo mtoto sasa mnajidai nn. Mimtu ka nyie ndo mnaharibu ndoa za watu huwez jua mwanamke kajikoki kwa mme wake we huko unamjaza ujinga ndo anafika hata hafurahii hamjui inavouma. Hivi wanaume wengine mkojeeee ka hufanyiwi wewe kaa kimya jaman khaaa
wewe ndo pimbi kabisa vingine vyote umekosa kuongea hadi ufurahie ujinga KWANZA HUJAOA WEWE unaacha kufurahia kanisani kwa kumshukuru Mungu kuwafikisha au kufanikisha chochote ndani ya ndoa umekomaa na birthday pimbi nyie