Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Wanaume wa dar... ndio wana hayo mambo...


Aisee we kama unapamaind dar sema watu wakuwezeshe ufike, sijui huwa unahisi wanaishi malaika, umezidi acha utoto na kwa taarifa yako watu wa dar karibia wote wametoka mikoani, usifikiri kuna watu wa juu sana, don't too big for them, they are normal just like you.
 
Perception too mkuu!! Sina kawaida ya kusherehekea sku yangu ya kuzaliwa lakin hakuna ubaya!! Sema sio kawaida tatizo ni kwamba yaan kitu kikishaanza kupendwa na wanawake bas mnaona kama cyo kawaida!! Kama nchi inaadhimisha kwa kutimiza miaka 50 !! Sembuse MTU acha ushamba bana
Utakua huna muda mrefu tangu umefika mjini!!
Hizo sherehe za nchi sidhani kama zina tija, nadhani wangefanya kama ku recognise tu ila kutumia gharama nyingi naona ni upuuzi, hata Magufuli alipoigeuza ile siku kuwa ya usafi alipongezwa sana, mi nikiwa mmoja wao
 
Aisee we kama unapamaind dar sema watu wakuwezeshe ufike, sijui huwa unahisi wanaishi malaika, umezidi acha utoto na kwa taarifa yako watu wa dar karibia wote wametoka mikoani, usifikiri kuna watu wa juu sana, don't too big for them, they are normal just like you.
Wanaume wa dar mnavyopenda kulalamika ili mbembelezwe kama mademu...
 
Ukitaka kumchinja kobe usimtazame usoni labda jamaa ndio kasimamia huu msemo
 
Haha sijui ni ushamba ila hili swala limenishinda kwa kweli ,naweza hata sahau siku yangu ya kuzaliwa mpaka nikumbushwe
Kweli Mkuu. Binafsi huwa sikumbuki mpk niwe najaza form yenye kipengele cha DOB!
 
Mleta uzi nakupongeza umesemea moyo .


Wewe upo kundi la asilimia 87 ya Watanzania waliofeli mawazo,mawazo mgando,pia najua una utapia mlo,na uelewa mdogo sana.

Pia familia yako na ukoo una umaskini wa kupindukia uloletea na mawazo hasi yakiyoanzia kwako.

BIRTHDAY:- Hii ni siku ya kuzaliwa,inakumbukwa na wapagani na wanaomjua Mungu.
Wakristo wanakumbuka kuzaliwa kwa YESU(ambaye bila yeye hamna Mbingu) 25-12- Miaka 2000 iliyopita.

Waislam wanakumbuka mtume wao (Maulid etc )

Tanzania tunasiku ya Uhuru (mapumziko)

Sasa wewe,unamwonea wivu,nongwa ,roho korosho na tikiti mwenzio,okay,pia mkeo/demu hako hajui haya mambo ndo maana hujui.


Badilika_Mabadiliko yanaanza na wewe,Huna hela ,Kaa kushoto waachie wenye nazo.
 
What's good for boys, can't be good for men. Watu wengine ni wavulana forever, wengine tumekuwa wanaume forever. Birthday parties ni za wavulana na wanawake period
 
Nashauri watu wawe wanakwenda makanisani na misikitini kutoa sadaka za shukrani kwenye siku zao za kuzaliwa badala ya kufanya hizo birthday parties za kujifurahisha wao, atoae zawadi ya uhai na afya ni Mungu Mwenyezi
 
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
Wanaume wa dar.usije kuana akapaka ata wanja hiyo siku ya kuzaliwa
 
What's good for boys, can't be good for men. Watu wengine ni wavulana forever, wengine tumekuwa wanaume forever. Birthday parties ni za wavulana na wanawake period
Mkuu uko vizuri sana!
 
Nilijua mimi mwenyewe ndo nashangaaga kumbe tuko wengi, yaani kama wewe ni mwanaume halafu unafanya birthday party huwa nakudharau jamani, hata mwanamke ushakuwa mtu mzima hivyo vipart waachie watoto wa secondary bwana. Mie huwa nakumbushwaga kabisaa maana haina maana, nshazaliwa tarehe na mwezi naujua basi inatosha. Asante Mungu kwa uhai hilo ndo nalosemaga siku nikikumbuka birthday yangu.
 
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
Umeogea pointi lkn subiri waje uone mapovu. Kwa kifupi mwanaume kufanya sherehe ya birthday ni dalili za Ukaoge.
 
Back
Top Bottom