Ntahandinkimuhila
Senior Member
- May 20, 2014
- 131
- 108
Ahaaah, sawa Mr.MondraySoma post namba 3 au 4 nimeelezea kwa urefu zaidi.
Ahaaah, sawa Mr.MondraySoma post namba 3 au 4 nimeelezea kwa urefu zaidi.
Good brother ukiwa na swali uliza.Ahaaah, sawa Mr.Mondray
ndumu?Kama mmea pendwa
Binafsi nahisi nilichanjiwa vitu flani kwenye mikono yangu nilipokuwa mdogo enzi naishi na marehemu babu yangu huko mbinga-nyasa(sasa hivi wilaya ya Nyasa).
maana Nina nguvu zisizo za kawaida hususani mikononi.
hata wafanyakazi wenzangu ninapo peana nao mikono,huwa wananiambia mikono yangu inanguvu sana.
lingine ni kwamba nilipofikisha umri wa utuuzima,familia yangu ilinitahalisha sana kutopigana na mtu yoyote.waliniambia sipaswi kumpiga mtu yoyote hata Kofi.
mara ya mwisho kumpiga mtu ilikuwa wakati nikiwa o-level jitegemee sec miaka kadhaa iliyopita.
alikuwa ni konda wa daladala za kutoka ukonga kwenda kkoo.baada ya mabishano ya hapa na pale na purukushani,nilimpiga ngumi moja nzito eneo la mbavuni.
kwa kilichomtokea konda yule,niliapa kutompiga tena mtu maisha yangu yote.taarifa zilipoifikia familia yangu,nililaumiwa sana.nikakumbushwa kuhusu onyo nililopewa la kutompiga mtu au kutopigana.
Sorry mkuu now nimebanwa subir mchana nitakufafanulia vzr sorry kwa usumbufu.
Haupo siriazNataka kwenda kuishi kongo kidogo,nipen kidono+kinkuti+ niongezeeni na Mbayuwayu ile risasi ikipigwa inakwenda pembeni,,,msaada plz...
Kuwa imortal??hapana aiseeHahahaha, unenichekesha , nadhan
kidono + kinkuti = imortal » Allien
Sijawah kutania nisiowajua ndugu..wala siwez kusema nataka nisichotaka,maana mungu hajawahi kunifanya mnafiki..Haupo siriaz
Bro naona upo kwenye maeneo yako ya kujidaiNi mojawapo ya malighafi ya kutengenezea kidono, kidono hakina tofauti na kuchanjia muku
Naomba mawasiliano ya mtaalam mmojaNdio maana kigoma pakaitwa mwisho wa reli. Kila kitu kizuri kipo huko.
Nifuate pm nikupe namba zake.Naomba mawasiliano ya mtaalam mmoja
Ahsante kwa ushauri wako mkuu ..Mkuu, endelea tuu kutoa Huduma maana mzungu kaja na uchawi wake Wa 'bullet proof' sasa ukiacha si watu weupe wataendelea kutupumzikia na gunduzi zao lukuki ?
Good sana hivyo ndio unatakiwa uishi mkuu.Sijawah kutania nisiowajua ndugu..wala siwez kusema nataka nisichotaka,maana mungu hajawahi kunifanya mnafiki..
Tanga kuna watu wa kigoma wengi waliopelekwa manamba (kukata mkonge) wakamua kuishi huko hao ndio waliopeleka hiyo taalumaHiii kitu inatofautiana na jamiii na jamiii katika majina.
Tanga hiyo kitu inaitwa MUKU.
Nimeishuhudia inavyo fanya kazi kwa mtu, na hatua za majaribio niliwahi kuiona. Ina masharti yake, nikipata muda naweza hadithia kidogo
Ni kweli nimewahi shuhudia mzee mmoja hali hiyo ikimtokeaYeah mkuuu.
Ila the worst ikifika time yako yakurudi vumbuni unapata shida sana.
Unakuta wengine wana fight kuto taka kufa, till wengine huteseka even wengine kuoza wakiwa wanapumua, hiz vitu vina mengi na miiiko mengi.
Kuna baadhi ya miiko au vitu hafanyiwi mtu ambaye hana mtoto,
Lazim huwe na wakiume na kike, ina depend na unatakaje
Naku pm mkuuGood sana hivyo ndio unatakiwa uishi mkuu.
Mkuu hua dawa yake haitolewi hovyo hovyo.
Share na wadau watasikia maneno yako pia , mkuuuNi kweli nimewahi shuhudia mzee mmoja hali hiyo ikimtokea