Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Kuuza silaha hakuna ubaya na believe me fursa yetu ni usambazaji wa silaha hayo mengine yanatuhusu nini sie. Tuanze bajeti fasta ... nauli hadi kigoma /Congo...., Chakula/ malazi..... Ro materio ya dawa ...... ofisi..... matangazo.... EFD machine (Opshino)..@Da'Vinci tunaumaliza mwaka kivingine.
naomba tu nikae na hiyo EFD machine!
 
enh nyie endeleeni kwenda kufata mzigo na kurudi!
MI NTAKUWA NAPOKEA SIMU!
KUPANGA VITI VYA OFISI ,KUPOKEA ORDERS!
KUANDIKA FLIERS!
KUTANGAZA INSTA NA KWENYE MAGAZETI NA JF!
KUPOKEA WAGENI NA KUWABADILISHIA CHANNEL!

OFISI ZETU ZITAKUWA NA WiFi!
wakija bando bure ili wakati wanasubiri zamu zao za kumuona MTAALAM!
wawe wanaweza kumfuatilia Sister Fay!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom