kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

Hiyo picha sijaipenda hata

hata hii mi siipendi
avatar194867_5.gif
 
Nilivyosoma title kule juu nilidhani unaumwa kichwa
ile kufungua tu hapa nakutana hii mambo

oky mwambie mtu mwingine ili aweze kumsaidia
ila tokea hapo ameshaadhirika kwani washafanya
jambo ambalo halimpendezi Mungu, hivyo mtaairishe
kwa kumwambie mtu mwingine aliyekaribu naye kisha
angalia atachukua hatua gani hapo, halafu
ni vyema KUPATANA NA MSHTAKI WAKO MAPEMA
KABLA JUA ALIACHWA ndugu


Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,
 
How???
mwelezeni jinsi ya kufikisha ujumbe
Mbona easy tu. Mtumie sms kwenye simu yake, mwambie jinsi gani unavyoumia na kutoelewana kwenu. Mkumbushe mlivyokuwa zamani na mambo mazuri mliyokwisha fanya pamoja. Mkumbushe hata magumu mliyokwisha yapitia na mwambie in fact ni kwamba duniani tunapita tu. Mwambie ni kheri zimwi likujualo kuliko au ni kheri shetani unayemjua kuliko malaika usiyemfahamu na mambo mengine kama hayo. Na mwisho mwambie pamoja na kuwa uhusiano wenu si mzuri lkn hawezi kukaa kimya akimwona Rafiki yake kipenzi akiumia asifanye kitu. Mwambie urafiki wenu unaweza kuisha leo ukafufuka kesho kwani kuna kitu kimewaunganisha ambacho ww binafsi hakijui. Mwambie openly kuwa kuna kitu kinaendelea kati ya shemeji yako ambaye ni mke au demu wake huyo jamaa na...... mtaje wazi huyo jamaa. Nasema mtaje kwa sababu kwa namna moja ama nyingine na yeye alishasikia habari zake na itamsaidia azipe umuhimu mkubwa taarifa zako. Mwambie huyo mtu taarifa zake si nzuri sana mitaa ya kwenu. Mhakikishie kuwa huna nia mbaya na shemeji yako lkn ni vyema ukatimiza wajibu wako si majungu wala nn. So akuamini asikuamini mwambie si suala lako tena.
 
ndo hivo ukiitwa kimbia haraka, next time uwahi utakuta pako wazi...


Ha ha ha

kilivyonitoka kijasho khaaa

nimeumia kukuta pamefungwa vipi huwezi nitupia dirishani jmn nna usongo mwenzio
 
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,

Everything you say right now, is gonna be used another fight and I have been through this so many times so:.......
 
aliniazima pesa zangu kiasi kingi kidogo na kuniahidi kuwahi kunirudishia siku, miezi, mwaka ukakatika mtu kimya! nilipojaribu kumkumbusha akanijia juu kuwa biashara yake imeingia hasara kubwa hivyo hafikirii kunirudishia!
nilichoamua ni kumkalia kimya he! akaja tena eti nimemroga coz hajielewi kila anachofanya hafanikiwi,,,,, nikashikwa na hasira sababu alikuja kwa jazba kubwa watu walijaa sana!
nikasema liwalo na liwe kilichofata nadhani unakijua!!!

Kilochofwata ni nini?Ulimchapa?
Tafuta njia ya kumpa habari. wewe mwenyewe unajua ni jinsi gani itakuwa rahisi kwako kwa mazingira yenu huko.
Uki weka shaka kwa kila njia hautajaribu kabisa.
Cha msingi find a way kumfikishia hizo habari na pia mmalize hizo tofauti zenu, yaliopita si ndwele.
Usipomwambia na akiingia kwenye tatizo kweli nafsi itakusuta sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom