kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

anayeomba ushauri soma avatar yake imeandikwa nn..

mkuu! hata profesa wakati mwingine anaomba ushauri na maamuzi utakayoyaona kwako ni sahihi kumbe unaweza ukawa wrong,,,
usijiamini katika kila kitu ila kuwa na "final decission"
 
hapana sio mada ya ukimwi...hii mada inasema "kicwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu"

unapokuwa na jambo zito kwako halmashauri ya kichwa lazima zikose ushirikiano ndo maana kichwa kikawa kinaniuma kwa kufikiria pasipo nukta,,,!
 
mkuu! hata profesa wakati mwingine anaomba ushauri na maamuzi utakayoyaona kwako ni sahihi kumbe unaweza ukawa wrong,,,
usijiamini katika kila kitu ila kuwa na "final decission"
kwani nimekataa usishauriwe....just a reminder it is possible you can do it...au ni kosa kufanya hivyo??
ningesema kwa maneno bila kuweka picha ingekuwa sawa...ila nimeweka picha basi ni kosa...ebu nisaidie ni wapi sitaki watu wakushauri..i think you have wrongly interpretred me...
 
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,

Maadam unatumia jina lako halisi. Mtumie link ya hii thread kwa sms. Kazi itakuwa kwake..-
 
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,

Tafuta mbinu mbadala za kutengeneza naye, siyo kwa style hii atakuona muongo tu. Mrokee mwambie kukaa kimya haitusaidii kama mmemkoseana msameheane.
 
kwanza maliza ugomvi wenu then ndo umwambie kwani ukimwambia ss hivi hatakuelewa
 
andika barua mtume mtoto asiekufahamu wa mtaa anaoishi huyo rafiki yako kpindi unamsubiri akitoka kazini , hapo lazima waende wakapime! ila usiandike jina la mwandishi wa barua!
 
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,

ukimfwata na ukimwambia mtakuwa marafiki tena.

wahi chance ndo hiyo
 
Back
Top Bottom