kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

Huo muda ambao unaomba ushauri humu jamvini ungekuwa ushamtonya mwana. Dahh huyu mgeni atamaliza wengi sana.
 
umetoa wazo zuri sana miss ila tatizo lipo kwenye njia gani nitaitumia kuwasiliana naye ukizingatia jamaa hataki hata kusikia jina langu!

Ningekuwa mimi nimemwambia straight kwa sababu sina cha kupoteza. Urafiki umeshaingia doa so kama moyo wako unakutuma kutenda jambo jema kwa ajili ya huyo 'rafikiyo' ni moyo huo huo utatengeneza njia ya kufikisha ujumbe. Sana sana mimi ningekuelewa concern yako kwa huyo mpangaji wako kuwa unamnyanyapaa kwa watu lakini si kwa huyo 'rafiki' ambaye hataki hata kusikia jina lako. Je vipi itakuwaje akikuona live.NB: By the way si kila mwenye partener mwenye HIV + naye anaambukizwa!
 
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,

Mnapenda kubeba mizigo isiyo yenu, acha wafu wawazike wafu wenzao. Butua, I am sure una mambo mengi ya kufanya zaidi ya hilo. Kusutwa kunakuita wewe.
 
^^
Tafuta mtu mwingne anaemuamini, umweleze kwa kirefu na kupitia yeye akamhadharishe.
Kumsaidia mtu pasipo yeye kujua ni zawadi njema ipitayo wema wa njiani
^^

hii ipo sawa kabisa..tumia mtu mwingine kufikisha ujumbe...ila siri itakua si siri tena...huyo utakayempa huo ujumbe lazima atafute wake wa kumsimulia,,,mara hee habari imeshaenea..
 
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,

nenda kwanza wewe kapime halafu ndo uje nikushuri cha kufanya
 
Mwambie ila hatakuamini najua japo atakuja kumbuka maji yakimfika kwenye tai
 
Dah tatizo haujui huyo shemejio ameanza lini kutoka na huyo +ve..i hope bado hajamuambukiza, if yey amepata coz inawezekana wanangoneka salama na huyo +ve..tafuta rafik mwenye busara and umueleze ili afikishe ujumbe.
note:jishushe 2 muyamalize coz jamaa atakuw na maswal meng ya kukuuliz.
 
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,

mmmh apo pagumu..ngoja nijifunze tu apa
 
huyo unayemtuhumu muathirika ulimpima?
 
na wewe ulienda gesti kumsalimia bibi yako?
Umeamua tudanganya watu wazima.
 
Mwambie kuwa pamoja na tofauti zenu lakini hupendi mabaya yamfike kwa hiyo una taarifa hii...
ila issue ni kama asha du nae peku ndo anaweza akapagawa akamwambia huyo muathirika kuwa fulani kaniambia hivi ikawa issue tena kwako. Kama vipi tumia maandishi write to him/her annonimously... kama vile barua mpe dereva wa bodaboda aipeleke. Ujumbe atakuwa kaupata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom