The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
- Thread starter
- #101
umetoa wazo zuri sana miss ila tatizo lipo kwenye njia gani nitaitumia kuwasiliana naye ukizingatia jamaa hataki hata kusikia jina langu!
Ningekuwa mimi nimemwambia straight kwa sababu sina cha kupoteza. Urafiki umeshaingia doa so kama moyo wako unakutuma kutenda jambo jema kwa ajili ya huyo 'rafikiyo' ni moyo huo huo utatengeneza njia ya kufikisha ujumbe. Sana sana mimi ningekuelewa concern yako kwa huyo mpangaji wako kuwa unamnyanyapaa kwa watu lakini si kwa huyo 'rafiki' ambaye hataki hata kusikia jina lako. Je vipi itakuwaje akikuona live.NB: By the way si kila mwenye partener mwenye HIV + naye anaambukizwa!
ni kweli mkuu!