kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

Mlizulumiana au ilikuaje


aliniazima pesa zangu kiasi kingi kidogo na kuniahidi kuwahi kunirudishia siku, miezi, mwaka ukakatika mtu kimya! nilipojaribu kumkumbusha akanijia juu kuwa biashara yake imeingia hasara kubwa hivyo hafikirii kunirudishia!
nilichoamua ni kumkalia kimya he! akaja tena eti nimemroga coz hajielewi kila anachofanya hafanikiwi,,,,, nikashikwa na hasira sababu alikuja kwa jazba kubwa watu walijaa sana!
nikasema liwalo na liwe kilichofata nadhani unakijua!!!
 
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!

Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!

Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!

Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,

Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,

Mm nafikir ushahur wa himidin ni mzur sana na ukiufwata unaweza kukusaidia, ukimwafa direct ww ataona coz mmegombana unataka pia kumgombanisha na mpnzwe, hivo tafuta hata rafiki yake mwingine ambaye atamfikishia ujumbe ila usikae kimya.
 
Mm nafikir ushahur wa himidin ni mzur sana na ukiufwata unaweza kukusaidia, ukimwafa direct ww ataona coz mmegombana unataka pia kumgombanisha na mpnzwe, hivo tafuta hata rafiki yake mwingine ambaye atamfikishia ujumbe ila usikae kimya.

thnx mkuu! nitaufanyia kazi ushauri huu ila endapo sitofanikiwa ujue ndo nimeharibu mara mbili,,,,,,!!
 
Wanaume huwa hawachuniani, hilo ni bifu la kike...
msaidie rafiki ako mwambie, ila na kusutwa ujiandae
make mambo ya wapenzi waachie wapenzi wenyewe,
watagombana ila wakipatana unalo!!!!!
Please rudisha avata yako
 
Hakika uwezi kuona mwezako anaumia eti sabb umechunian kuwa mwanaume wa ukweli mwnye uamuzi sahihi .
 
Godfrey Jackson

hey-you-can-do-it.jpg


Hiyo picha sijaipenda hata
 
Yes!!! Iyo ndo njia sahihi zaid. Na huyo atakayeenda aeleze waz kwmb ametumwa na wewe
 
Mtumie sms hata kwa kutumia simu ya mtu mwingie, meseji itakuwa sent na delivery
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom