Mueleze tu ila sijui atapokeaje,lakini wewe utakua huna dhambi tena
Fuata hatua zifuatazo;Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!
mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!
nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!
huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,,,
nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,,,!!!
Mtumie msg,email bila yakuweka identity yako,mwambie tu nakutaarufu hivi ili ukacheki afya yako na ya huyo mpenzi wako.lazima tu atashtuka na kutake action,incase of anything.unaweza fungua fake email account.
Fuata hatua zifuatazo;
Note: Usijitambulishe kwenye ujumbe huo kwa kuandika jina lako, herufi za majina yako, au sahihi yako.
- Chukua karatasi na kalamu yenye wino wa kutosha
- Kusanya vidhibitisho vyote vyenye kuwa ushahidi wa ujumbe wako
- Andika barua kwa rafikio ukimweleza vyote na mikakati kama atataka kushuhudia kwa macho yake, na uambatanishe na ushahidi wowote kama unao
- Funga vizuri, halafu usiku wa manane ukamwekee chini ya mlango wake, au chumbani kwake kupitia dirishani; ni vizuri ukafanya vyote hivyo kwa kutengeza nakala nyingi kadri uwezavyo, ili kujitahidi kuhakikisha ujumbe unamfikia bila mpenzie kuzuia kama atanasa kabla yake
Hapo utakuwa umefikisha ujumbe unaohitaji....! Kazi njema.
mwambie ndugu rafiki nimekutana gesti na mpenzio na jamaa mmoja anayeitwa ........... nakutokna na taarifa za mtaani kwangu ni kwamba jamaaa ameshaupata yaani yupo positive ,,, yaani ni mwathirika ila kama bado unampenda bibie fanya maamuzi ya kumbana bibie mkapime ndo mwendeleee na mchezo wenu wa uzinzi wa kila siku...... ila kama umpendi yaani umeshachoka chukua hamsini zako na yeye zake,, ila bado uende ukapime ni ushauri wa bure tu nakupa ndugu yangu japo tulikuwa tumechuniana mda mrefu but i still love u rafiki yangu na siwezi ona ukiwa unachungulia kaburi ukaniacha bora nitangulie mimi ubaki wewe....
Mkuu ndio maana nimekushauri utoe nakala za kutosha ili ujaribu kutegesha karibu kila njia aipitayo....! Je, unataka kuniambia kuwa huyo mpenziwe yeye hupita kila mahali kabla ya rafikio?mkuu wazo lako ni jema sana ila utata huja endapo akaiokota mwingine au ukikuta kalala na mpenzie siku hiyo na akafanikiwa kuiokota demu si nitakuwa napiga deki bahari,,,,!?
umetoa wazo zuri sana miss ila tatizo lipo kwenye njia gani nitaitumia kuwasiliana naye ukizingatia jamaa hataki hata kusikia jina langu!???
Mlizulumiana au ilikuajechanzo ni pesa mkuu!
mkuu huoni kama ndo nitakuwa namtangazia yule jamaa mwenye HIV?
Wanaume huwa hawachuniani, hilo ni bifu la kike...
msaidie rafiki ako mwambie, ila na kusutwa ujiandae
make mambo ya wapenzi waachie wapenzi wenyewe,
watagombana ila wakipatana unalo!!!!!
dogo ww ni jembe! Kumbe unajua kuwa gals kawaida yenu ni gubu