kichekesho cha ukwel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kichekesho cha ukwel

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by charminglady, Apr 20, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  nilipokuwa darasa la kwanza tulikuwa tunafundishwa kuimba hv "tunaunganisha herufi na irabu tunapata silabi,silabi na silabi ni neno neno na neno sentensi na hivi sasa tunasoma A E I O U. Basi enzi hizo tulikuwa tunakwenda shule asubuhi thn tunatoka sa sita mchana then tunarudi sa nane tunasoma mpk sa kumi jion. sasa siku tulikuwa kunaimba hako kawimbo ilikuwa mida sa sita kasoro wanafunzi wote tushachoka na njaa ni kali. basi mwalimu akamuuliza mvulana 1. wambura 'tunaunganisha nini na nini ili kupatta
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  dah,mchina hana maana. naendelea. tcha akamuulza wambura tunaunganisha nin na nini ili kupata silabi. wambura akajibu tunaunganisha ugali na nyama!!.!!!!!!!
   
 3. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sijaelewa, niseme ukweli!!!
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  km hukusoma st.kayumba enzi za mwalimu huwez elewa. we c mtoto wa masak. je hujui kwa ukiunganisha heruf na irabu unapata silabi na ukiunganisha silab na silabi unapata neno kamîl na ukiunga neno na neno unapata sentens. we mwalm wako wa kiswahl hakukufundsha?
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Haichekeshi...
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Duh....
   
 7. C

  Chassarsenal Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha mbal sna, enzi hzo npo shule ya msingi Uzuri pand za Manzese Dsm. Kuna ticha wang alikuw anaitw mwl. Mwasambungu ali2kmbiz sna kwny kusoma tebo za kuzidisha.
   
 8. C

  Chassarsenal Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 9. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mie ndo usiseme,maana mida ya kuondoka ile saa sita na kuwapisha wengne tulikuwa tunawaaga,
  CHOMA NYAMAAA.
   
 10. M

  Melkizedeck T New Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kawaida sana
   
 11. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35  Daah mchina hana maana kabisa!
   
Loading...