Hahah nilijua tu...ulikataa nisiku-drive mimi!!! afu nakupigia weeeeeeee......ama ulizima hapo hapo!??
single but looking
Mrembo by Nature Nakuonea huruma huyu nilimshindwa zamani. yaani wanaume wengine utafikiri gunia la misumari
sasa Mrembo by Nature nafasi hiyo ilomshinda mangi Mentor nikabidhi mimi
Niko kwenye window period, nitatangaza hivi karibuni ili mje mlete CV zenu niangalie nani ananifaa.
mie ni handsome by nature, hutajutia maamuzi yako, muulize charminglady
mangi shamba lishamshinda, ngoja walime wenzie, nipe mikoba
vivian....why always me!Mrembo by Nature Nakuonea huruma huyu nilimshindwa zamani. yaani wanaume wengine utafikiri gunia la misumari