Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Duh... Inabidi nitoke huku kijijini nije home naona mambo yanaharibika! Kwanini asioe wote wawili? Kwani ladyfurahia na Mrembo by Nature hawaelewani kama mimi na gfsonwin tunavyoelewana?
Yawezekana charminglady kanisaidia kujibu hapo chini.
Tena ukizingatia ladyfurahia analalamika kulala sebuleni alafu wao wanaenda kuvinjari chumbani. . .!!!! Duh
Toka huko kijijini mae uje . . . hali si shwari.
Maybe ndugu yako kanyoa denge la ubongo ila we huna habari!!!
Dada mkubwa... kwanza heshima yako. Hivi lini na wapi mabinti wakaelewana katika ukewenza??? Wanaoelewana ni akina mama tu. Kwa mabinti sahau.......
Last edited by a moderator: