Kibuti

Kibuti

Duh... Inabidi nitoke huku kijijini nije home naona mambo yanaharibika! Kwanini asioe wote wawili? Kwani ladyfurahia na Mrembo by Nature hawaelewani kama mimi na gfsonwin tunavyoelewana?

Dada mkubwa... kwanza heshima yako. Hivi lini na wapi mabinti wakaelewana katika ukewenza??? Wanaoelewana ni akina mama tu. Kwa mabinti sahau.......
 
Last edited by a moderator:
YANI KAKA Erickb52 nimechoka kabisa pale home wanakuja mabint wa kila sampuli mfupi, mrefu, mnene na mwembamba ilmradi tu ni karaha ndani ya nyumba acha nirudi huko huko kwa baba paroko wangu wa zamani amenichosha sana huyu
 
Last edited by a moderator:
yaini kama ulikuwepo mpendwa kwani ameniuzi sana kuniletea mke mwenzangu ndani ya home si jambo la kushangaza hilo, kinachoniuma moyoni ni kulala sebuleni mm na watoto mamaaa!
Huyo alikuwa hawala tu mwenye mume ni ladyfurahia ndo maana bidada ameamua kusepa mapema!
Nahisi pia maombi ya ladyfurahia yamejibu coz hakupendezwa kabisa na tabia ya mumewe kumrundikia smolo hausi wengi. Ndo sasa unaona wanaanza kuondoka mmoja baada ya mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
marahabaaa.............hujambo mtoto mzuri!!! jana banaa si nikaingia kwenye mitaro ya strabag........

Hahah nilijua tu...ulikataa nisiku-drive mimi!!! afu nakupigia weeeeeeee......ama ulizima hapo hapo!??

unatafta pa kupozea kibuti..nimestuka
mimisa, kibuti cha nani? chit chat usiiknfyuzi na saccos yangu ina mafao hakuna anaeweza kutoka...jiunge nawe ujionee faida zake, hadi uzeeni!!!

Kwa hiyo na Erickb52 nae ni sehemu ya saccos za Mentor?

Aaaah jamani sis sio wafaransa..

Hiyo nimempa kama taarifa.

Hivi dada Madame B, kikundi chenu cha mkodobwe kinakodiwa kwa shilingi ngapi maana ninataka kuwapa dili la kumsuta Erickb52, mwananume gani anawaharibia wanaume wenzie!!!! serukamba yeye!!!!!:censored:
 
Last edited by a moderator:
hahah nilijua tu...ulikataa nisiku-drive mimi!!! Afu nakupigia weeeeeeee......ama ulizima hapo hapo!??


mimisa, kibuti cha nani? Chit chat usiiknfyuzi na saccos yangu ina mafao hakuna anaeweza kutoka...jiunge nawe ujionee faida zake, hadi uzeeni!!!



Aaaah jamani sis sio wafaransa..

Hiyo nimempa kama taarifa.

Hivi dada madame b, kikundi chenu cha mkodobwe kinakodiwa kwa shilingi ngapi maana ninataka kuwapa dili la kumsuta erickb52, mwananume gani anawaharibia wanaume wenzie!!!! Serukamba yeye!!!!!:censored:
tafuta wapiga tarumbeta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom